Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Selasini akae kimya msaliti wa umma huyu na asubiri tu kushindwa October.
 
Huyu mzee nae kaishiwa pumzi bado mapema sana. Asubiri mbio zianze,hakuna rangi ataacha kuona
 
"Mimi nimechukua pesa kutoka mfukoni kwako,kama huwezi kufanya kazi kaolewe" alisikika kiongozi mkubwa akimjibu mpigakura wake mbele ya makamera
 
Sio lazima walitumikie taifa lao katika Nyaja ya uongozi vipo vitu vingi wanaweza kufanya
 
Wabaki huko huko hatutaki vijana wasio na misimamo! Never ever
 
30 kwa nini usiwakalibishe kwenye chama chako kipya?
Tujifunze kuwa siasa sio uadui bali mtu akitusaliti tusimwamini kumpa uongozi, lakini anaweza kupokelewa ma kupewa uanachama wa kawaida
 
Back
Top Bottom