Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Kina Lijualikali wanajuta na kulia na hakuna wa kuwapa pole maana wanacho kipata ndiyo malipo yao
Huyu mzee vip? Kwani huko walikohamia hakuna vijana? Wapambane....na hilo liwe funzo la kupenda hela za muda mfupi kwa hawa vijana
 
Kwahiyo kazi ya kufagia pale lumumba utamuachia nani? Au utamwachia kipara kipya na mwenzake Wakudadavua?
Mkuu, ninauhakika wa Kula na kuendelea kuihudumui familia yangu kikamilifu bila kuyumba miaka zaidi ya kumi hata nispofanya kazi, ellewa Sana mkuu

Jambo lingine unalopaswa kulishika, ni unapaswa kuheshimu kazi za watu mkuu, hata mtu akifagia Lumumba au mwokota makopo Kwa sababu haumlishi
 
Kama unalijua hilo inakuwaje unaikwepa hiyo kazi yako? Mbona mwenzako kipara kipya haoni aibu kufanya hiyo kazi?
Mkuu, ninauhakika wa Kula na kuendelea kuihudumui familia yangu kikamilifu bila kuyumba miaka zaidi ya kumi hata nispofanya kazi, ellewa Sana mkuu

Jambo lingine unalopaswa kulishika, ni unapaswa kuheshimu kazi za watu mkuu, hata mtu akifagia Lumumba au mwokota makopo Kwa sababu haumlishi
 
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.

Selasini ametoa kauli hiyo hii leo Agosti 7, 2020, Jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi na kuongeza kuwa vijana hao wanapashwa kuwapokea na kisha kuwalea na kuwarekebisha kwenye makosa yao na kuwapa nafasi za uongozi.

"Naviomba vyama vyote, chama changu cha NCCR-Mageuzi, CCM, CHADEMA tusiwatupe vijana, hata vijana ambao walihama kutoka CHADEMA kwenda CCM wakaenda kushindwa kwenye kura za maoni, tunajua vijana wanavyotangatanga hata katika kutafuta uchumba, wanatafuta fursa fungueni milango hao vijana warudi waweze, kufanya kazi ya Watanzania" amesema Selasini.

CC: Lijualikali.
Kaahaba wa kisiasa akitumia nguvu kubwa kuwatetea maalaaya wa kisiasa...
Je tukengeuke wosia wa Mwalimu wa "kuwaogopa wanasiasa wenye tabia za kimalayamalaya...!!"?
Je ni nani baina yetu awezae kukumbatia nungunungu huku akitabasamu?
 
Kaahidiwa kurudi mjengoni huyo angojee atumie kiinua mgongo atakachochukua tena awape mtaji. Akumbuke tu kuwa ka sio EL hata Dodoma asingelifika. Kumtoa Pesambili sio uwezo wake bali wa EL na chadema
 
Hakuna mtu wa kuwakaribisha hao wafuata harufu ya centi

Back
Top Bottom