Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

Wana Rombo musitegemee chochote toka kwa Selasini kwa vile huyu ni mnafiki sana hadi kwenye ngazi ya familia. Yuko radhi kuzua uongo wowote alimradi ashibishe tumbo lake. Kumbukeni mgogoro wa NCCR uliomleta Mbatia madarakani, Selasini aliweza kumdhalilisha kaka yake wa kuzsliwa pamoja Dr Masumbuko Lamwai kwa kutoa siri za makuzi yao. Kwa kitendo hicho maadui wa Lamwai akina Mvungi na Mbatia walipata point na kumuahidi cheo kwenye himaya yao. Nawatahadharisha vilevile muwe makini na raslimali zozote ambazo munazo kama vile mfuko wa maendeleo wa jimbo. Huyu Selasini si mwaminifu hata kidogo kwa mali ya umma. Kwenye miaka ya 1990s akiwa afisa usafirishaji wa THB aliwahi kuuza gari aina ya Suzuki mali ya benki na akadanganya kuwa imeibiwa. Menejimenti haikumchukulia hatua kwa vile aliletwa banki na Urassa aliyekuwa bosi wa THB.
Wakati wa uchaguzi ws 2010 ingekuwa vigumu sana kuwaaminisha wana Rombo kuwa huyu mtu ni bogus kwa vile naye amejaaliwa mdomo wa kuongea. Hivyo kubalini tu kuwa kimaendeleo ya jimbo imekula kwenu. Jipangeni upya kwa 2015.
 
Hon J.Selasini i know your coming from a political oriented family starting from your father Mzee Romani Selasini (the councilor forever)and your brother the prominent lawyer Mr Masumbuko Lamwai. My advice is may you organize a special dinner for Rombo graduates so as to expose out our ideas focusing the social .political and economical development. For sure under this situation your going you will never celebrate another victory for rombo constituency.
 
kaka u might b rite bt 2nataka cc wananch kabla ya huo muda awe ame pay the price....if he wil rectify himself we wish him a long stay@ rombo constituency!!

kiukweli wananchi watapoteza imani na sifa ya mbunge wetu.swala la barabara inatakiwa alifuatilie na ikiwezekana awe anatoa update kinachoendelea.inakuwaje mda wote kibaki kipande kidogo na hadi leo hakijakamilika?
tunaskia wabunge wengine wako jimboni kwao wanafanya shughuli za maendeleo lakini wewe hatukuskii hata siku 1 au magamba wamekuficha?
 
Kweli suala la barabara tu linatakiwa lipatiwe ufumbuzi wa haraka.inahitaji ushirikiano wa mbunge,madiwani na TANROADS.Hii ni aibu!
 
Kuna Baadhi ya Comments za Wanaojiita 'Warombo' ambao naamini kwa zaidi ya 99% yao hawajui kwanza kazi za mbunge, pili hawaishi Rombo kwa hiyo hawana Taarifa sahihi juu ya kinachofanywa na Mhe.Selasini, tatu wanaleta makundi ya Kina Kinabo (Walioshindwa kwenye kura za maoni) kumchafua Mhe.Selasini bila kujua kuwa wanajichafua na wao pia. Binafsi yangu sitaki kuamini kuwa CHADEMA huwa inakurupuka kwa vijineno vya watu wachache (Hasa wanaoandika kwenye mtandao) kama hivi.
Nimeshuhudia Mhe.Selasini akifanya mikutano sehemu mbalimbali Rombo. Amebakiza vijiji 8 tu kumalizia kuzunguka vyote na kujua vipaumbele vyao na kuangalia miradi iliyokwama/inayoendelea. Nawashauri mnachokipika wala hakifai kuliwa na Nawaapia 2015 Selasini for Rombo!.

Mjipange upya!
 
TAARIFA KWA WANAROMBO:Itakumbukwa kuwa pamoja na mambo mengine; Changamoto za Rombo ni Ukosefu wa Maji na Uvamizi wa Tembo kwenye mashamba naMakazi ya Wananchi.1. Tatizo la maji kwa Jimbo la Rombo limekuwepo miaka mingi kutokana na kukosekana kwa Mipango thabiti ya kudumu ya kumaliza tatizo hili. Tangu nimechaguliwa kuwa Mbunge nimefuatilia na hatimayekufanikiwa kupata jumla ya visima 30 kwa mchanganuo ufuatao.(i) Visima 10 - Mradi unaofadhiliwa na World Bank(ii) Visima 14 - Mradi wa PWB(iii) Visima 6 - Msaada kutoka kwa Mzee Mustapha Sabodo.Miradi ya WB na PWB tayari mikataba imesainiwa na kazi ya Usanifu imeanza wataalam wapo Site kuanza miradi hiyo mapema iwezekanavyo. Mradi wa visima 6 vya msaada kutoka kwa Mzee Mustapha Sabodo tunatarajia kuanza utekelezaji wake (Ikiwa ni pamoja na kutambua sehemu vitakakochimbwa) baada ya vikao vya bunge la Bajeti.Natambua uhaba wa maji kwa Wananchi wa Rombo ni Tatizo kubwa na Mradi wa maji wa Kili Water bado haujaweza kuwasaidia wananchi wangu kama ilivyolengwa. Watu wasio na nia njema wamekuwa wakihujumu mradi huo na kuwakosesha Wananchi wengine maji kwa wakati na baadaye kuwauzia maji hayo kwa bei kubwa. Nashukurusana wananchi wanaoendelea kunipa ushirikiano kwa kunitumia majina ya wanaohujumu miradi ya maji na nitawashughulikia mara tu baada ya bunge hili.2. Tatizo la tembo ambao wamekuwa wakivamia mashamba ya watuna kuharibu mali/kujeruhi watanchi nimefanya utafiti wa kina na kugundua yafuatayo;Tembo wamekuwa wakikimbia ukame kwenye nchi za Sudani na Somalia na kuja maeneo ya kenya lakini kutokana na baadhi ya wamiliki wa mashamba makubwa huko kenya kuzungusha uzio wa Umeme tembo hao wamekuwa wakija mpakani na hatimaye kuingia Tanzaniahasa Rombo na kufanya uharibifu mkubwa wa watu na Mali zao. Sheria za umoja wa Mataifa zinakataza kuuawa kwa wanyama kama. Hata hivyo njia pekee iliyobaki nimeamua kufanya mazungumzo na Serikali kuu ili ikutane na Serikali ya Kenya tuone namna tunaweza kudhibiti Tembo hao. Utaratibu wa sasa wa kufidiwa kwa wananchi ambao watapata uharibifu kutokana na Tembo hao bado unaendelea kama nilivyosema kwenye mikutano yangu ya hadhara kwenye maeneo kadhaa huko Jimboni..Nimeona nitoe ufafanuzi huu wa awali kutokana na maswali haya kuzidi kwenye INBOX na sehemu mbalimbali Jimboni. Kama mtu ana Ushauri wowote wa kutatua kero hizo kwa njia nyingine pia nakaribisha ushauri hapa chini na nitauchukua kama unatekelezeka.Ahsanteni sana!Mungu Ibariki Rombo,Mungu ibariki Tanzania,Mungu Ibariki CHADEMA na Watu wake.Joseph SelasiniMb.Rombo - CHADEMA
 
mheshimiwa kuhusu wanyama waharibifu hasa tembo na kwelea kwelea waone prof. Maganga wa SUA (kuhusu tembo) na professor Thaddeo Tarimo wa SUA/NM-AIST(kuhusiana na kweleakwelea) wamefanya tafiti nyingi sana za kuzuia wanyama hao tena kule kule Rombo na wana njia sahihi za kupambana na wanyama hao kwa kuwatumia wananchi wa Rombo wenyewe.
 
huyu alipata nafasi baada ya Mama wa Mramba Kuwakejeli wananchi wa rombo yeye ndie amezaa lakini si mnakumbuka alipokuwa anatetea nyongeza za posho siyo mbaya kupongeza serikali kama imefanya jambo zuri lakini hivi kuna mbunge mtoto wake anasoma shule za kata naomba mnitajie hata mmoja kama yupo na hata serikali yenyewe imezisitisha baada ya kuona zilianzishwa bila maandalizi mazuri(kisiasa zaidi)
 
Kuna Baadhi ya Comments za Wanaojiita 'Warombo' ambao naamini kwa zaidi ya 99% yao hawajui kwanza kazi za mbunge, pili hawaishi Rombo kwa hiyo hawana Taarifa sahihi juu ya kinachofanywa na Mhe.Selasini, tatu wanaleta makundi ya Kina Kinabo (Walioshindwa kwenye kura za maoni) kumchafua Mhe.Selasini bila kujua kuwa wanajichafua na wao pia. Binafsi yangu sitaki kuamini kuwa CHADEMA huwa inakurupuka kwa vijineno vya watu wachache (Hasa wanaoandika kwenye mtandao) kama hivi.
Nimeshuhudia Mhe.Selasini akifanya mikutano sehemu mbalimbali Rombo. Amebakiza vijiji 8 tu kumalizia kuzunguka vyote na kujua vipaumbele vyao na kuangalia miradi iliyokwama/inayoendelea. Nawashauri mnachokipika wala hakifai kuliwa na Nawaapia 2015 Selasini for Rombo!.

Mjipange upya!

Mwaka 2015 umefika Sema tena sasa
 
Back
Top Bottom