Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Huyu jamaa kweli hata mie ananipa wasiwasi sana naona anarudisha nyuma harakati,hivi sasa ameingia kwenye marumbano na waandishi wa habari eti wanamuundia zengwe nani amuundie zengwe,zengwe anajiundia mwenyewe huyu kwa kushindwa kutimiza ahadi kwa wapiga kura wake.
Atekeleze wajibu wake....wananchi nao watekeleze wajibu wao.Mbunge ni daraja kati ya wananchi na Executive...........Haitakuwa Busara chama kupoteza jimbo kwa kumbeba mtu,ikifika 2015 kila mwenye haki ya kikatiba aitumie vizuri.Tumpe ushirikiano wa kutosha,tusiwape sababu za kushindwa kutekeleza ahadi na majukumu yao viongozi na wawakilishi wetu ifikapo 2015