Na wakishika nchi?Mimi nimekataa kuongozwa na mpinzani. Mpinzani akishika jimbo nahamia jimbo lingine.
Tumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
wewe ni kunguru au binadamu bado unaota kuwa ccm wanaweza kushinda eti kwa porojo za kuzuia maandamano kwani maandamano ni laana? wewe ni kati ya kundi la wezi au vichaa wanaoridhika na tshrt, au watoto wa vigogo wenye LAKE OIL,TICS,SIYO BURETumalize ubishi WABUNGE WOTE WA CDM hakuna kitu kabisa HERI YA WALE WA CCM.Wabunge wa cdm hadi sasa maendeleo waliofanya majimboni ni MAANDAMANO na VURUGU tu.Kutaka kusikika kwenye vyombo vya habari.
Niko na wazee na vijana kijiweni Dar, kuna watu wa ROMBO wanalalamika watu wa kwao kumchagua Selasini. Wanasema hajafanya chochote na anataka posho iongezwe.
Yeyote anaejua mazuri ya mh huyu anipe niwaelimishe coz wanasema bora Mramba
Watu wa Dar, wanajadili mambo ya Rombo? Tuendelee...Niko na wazee na vijana kijiweni Dar, kuna watu wa ROMBO wanalalamika watu wa kwao kumchagua Selasini. Wanasema hajafanya chochote na anataka posho iongezwe.
Yeyote anaejua mazuri ya mh huyu anipe niwaelimishe coz wanasema bora Mramba
Mimi nimekataa kuongozwa na mpinzani. Mpinzani akishika jimbo nahamia jimbo lingine.
sasa mwana tushajua ni kilaza xo lazima 2komae nae b4 2015 angalau atimize baadhi ya aliyoyasema! Akishndwa yeye atakua halali ye2!Siriazly binafsi nilikuwa na imani sana na huyu jamaa lakn nimekuja kugundua ni kilaza vby sana.
jitahdtmtaalam 2fahamiane coz 2na umoja wa graduates wa 2010 kama 25 hv frm kijijin kwake 2nataka 2mshkishe adabu ajue politics is a game lyk any other!Napita tu.Lakini huenda 2015 na mimi nikatangaza nia.
Hapa ni tatizo,nitakuja baadae mkuu!Mh tangu uchaguliwe jimboni rombo una changamoto nyingi za kufanyia kazi! Tuanze na barabara ya marangu-tarakea. Hii road imegubikwa na mizengwe kwnye kipande cha kuanzia mengwe to kiboro? Nin shda mheshmiwa? Hakiishi na miaka inaenda! Pili ni ukosefu wa ajira. Though ts a crosscutting issue bt kwa rombo ts too much coz uhalifu umezidi na thts y vjana wanajinywea mapombe ya hovyo na yapo ka aina 42 tena hayajapimwa na tbs! Tatu ni elimu! Ongezeko la shule za kata inabid liendane na walimu na maabara bt we upo kimya! Rombo ina sec schools 52 na zote znahtaji ua help! Wake up u mheshimiwa coz hatukawii kuku salakana! Early bird usually catches the worm!!
Hapana mkuu,tunaweza kumsaidia mbunge wetuSiriazly binafsi nilikuwa na imani sana na huyu jamaa lakn nimekuja kugundua ni kilaza vby sana.
Hili hapa ni tatizo kubwa,ni kinyume na msimamo wa chama....anaweza kulitolea ufafanuziYuko bize kudai posho iongezwe akasaidie graduations huko kiraen secondary!
Karibu Majani Kv.....Naomba uzima 2015 naenda kuchukua jimbo hana jipya ameshindwa kazi
Karibu molemo,lakini tuendeleze ushirikiano na mbunge aliyepoNapita tu.Lakini huenda 2015 na mimi nikatangaza nia.
sasa mwana tushajua ni kilaza xo lazima 2komae nae b4 2015 angalau atimize baadhi ya aliyoyasema! Akishndwa yeye atakua halali ye2!