Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Hii thread nategemea itakuwa imeandikwa na mzee tena mwenye fikra za kimagamba za "ccm yajenga nchi!".
Mbunge hawezi kuwatafutia ajira. Vijana lazima mchakarike. Huku Arusha, vijana wa kiarusha waliokuwa wanakaa kijiweni wakinywa viroba mchana na kukaba watu usiku sasa wameuza vislasi vya viwanja vyao na kununua bodaboda. Wapo wanapiga kazi. Mbunge anawasaidia wasinyanyaswe na polisi! Kaeni chini muangalie nini cha kufanya halafu mbunge awasaidie kuweka mazingira mazuri.
Kuhusu barabara yenu, hilo swala ni kumshauri tu mbunge akafuatilie Tanroads. Mkandarasi huwa anapewa kazi/mkataba ikiwa na deadline. Na akicheleweshwa anakatwa malipo (liquidated demage) kwa kila siku iliyoongezeka. Kwahiyo mbunge ni kufuatilia tu maana mkataba ni wa Tanroads!
Kuhusu waalimu, mbunge hawezi kuwaajiri. Licha ya kuwa sehemu ya baraza la madiwani, lakini hata halmashauri zetu haziajiri waalimu! Mnaweza kushirikiana na diwani kuwatumia vijana waliomaliza form 6 kama part time!
Kimsingi mbunge anaweza kuwesaidia kuboresha mazingira na sio utendaji kwenye kutatua kero mbalimbali zinazowakabili. Lazima muamke na kuibua mbinu za kutatua kero zenu ili mbunge awasaidie kusukuma badala ya kukaa na kusubiri afanye yeye!