Watu wanaozungumzia pafomanc ya kiongoz nje ya jimbo ni ulimbukeni unawasumbua, naunga mkono aliyesema wapande basi warudi nyumbani wakaulize nini na kipi kimefanyika kwa sababu kuna watu wengine cjui wakoje.
Hivi mnafikiri jimbo litapakwa rangi ili mjue kuna kitu mbunge amefanya? Na ndani ya muda huu tu ambao ameingia madarakani ni nini hasa labda ndo kingekua kipimo cha huduma ambazo zimetoka kwa mbunge. Kwa mfano, watu wa rombo tulikua tunalalamika miaka na miaka kuhusu tembo wanaokula mazao ukanda wa chini, mbunge huyo mnaemdis aliahidi kujenga kituo maalumu ukanda huo huo cha kuweka ulinzi maalum, game preservers, ili kudhibiti tembo na mpaka sasa hivi kituo kimeshajengwa.
Stop talking nonsense mkiwa huko Dar na kujazana upupu usiowajenga koz huu co mdahalo wa simba na yanga