Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Sugu anaitwa chopeko na tulia anaitwa betina sasa washindane chopeko na betina?
 
kwa hiyo tanzania ni mojawapo ya mataifa makubwa au siyo?
Siyo kila wanalofanya mataifa makubwa na wewe uige,angalia kama yana mantiki,riport ya CAG waliopiga pesa unafikiri ni kina msukuma darasa la saba?angalia mtu anaekufaa,siyo elimu yake....
Tunatakiwa KUJIFUNZA mazurii Kwa walioendeleaaa nduguuu. Hata kama wasomi wataibaa, Kwa Sasa hapana kabisaaa, tunawataka wasomi siotufanye vituuu eti anatufaaaa. Kesho huyoo anayetufaaaa akienda bungeniii anaaanza kuuuliza swali eti kwanini raisi hasafiri kwenda njee ya nchi badala ya mbungee huyo kushugulikia KERO za wananchi wake waliomtu bungeniii. Kuwa msaniii na huku anaelimu KICHWANI hatuna shida, KERO za wanambeya ni kutaka maendeleo ya Jiji sio hip hop ya jamaa yenuuuu. Mda wake ulishapita kitamboo . Ni ULIMWENGU wa wasomiiii nduguuu hata kama wanamakosa.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Kabila lake linakujaje hapo??? Unataka kutambika?
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Tulia kafiwa na sponsor. Hana lolote.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Tulizana wewe nyashi wa Ackson
 
Yaaani kati ya dactar wa sheria MSOMI maarufu na mwanamziki, tuache MSOMI tukimbilie hip hop katika Dunia hiii kweeeliiii??. Hata kama yatagawiwa majimbo mawili halafu waseme tulia agombee yote atashinda asubuhiii.

Mbeyaa Sasa ivi imetuliaa saaana saana, kelele hamna, vuruguu hamna, Wala majigambo hayapoo, Kwa Sasa Hadi kiuchumi mbeyaa Sasa inapanda Kwa speed hii ni Kwa sababu watu wako katika kutafuta noti tuu.
Huyo tulia hio PhD ni kipumbavu Kama kwa position aliyopo kashindwa kusimamia serikali nyie wanaccm ni wajinga Sana kumpa mtu sifa za hovyo tuna spika wa ajabu Sana kuwahi kutokea tz yaan yupo yupo maskini Hana alijualo mnafurahia kuongozwa na wanawake

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Naona Sugu nae kaanza kuiga tabia za mwenyekiti wake,nani kamwambie kuwa ni yeye tu anastahili kuwa mbunge? miaka aliyokaa bungeni ni kipi alichokifanya zaidi ya kusema tu yeye ni raisi wa Mbeya, kwani kiinua mbongo alichopata kimeisha,hatumhitaji sugu kwa sasa wacha tupate wengine wenye mawazo ,akili na falsaf nyingine,Sugu aendelee tu na hoteli yake, ubunge sio wa mali yake asilete promo za kijinga au anataka tumwambie akagomee Makete sisi huku mkoa wa Mbeya tusha mchoka akitaka arudie kazi yake ya muziki, hela za bure za vikao vya bunge asahau,hatakuwa mbunge tena.
Sasa unalia nini ?
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Nataka kulijua hilo kabila duni.
 
Hakuna anayekimbiwa, jiji ni kubwa na linahitaji uwakilishi unaostahili.

Na serikali haijasema kuwa imeridhia kuligawa jimbo, kinaweza kubaki kama likivyo na Sugu akaangukia pua.
Hivi Mbeya ni hao wawili tu Tulia na Sugu wakitokea wengine je?
 
Kweli ww ni kubwa jinga mpaka leo unazuzuka na hiz PHD za mchongo,kweli nimeamini ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
 
Sasa Sugu nae huu ni uchokozi,si agombee anapokubalika zaidi?Au anakubalika kote Mbeya mjini ?
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Huyu Sugu hajielewi kabisa na matamshi kama hayo kama mfumo bado unamuhitaji Tulia kuendelea na uspika yeye ni nani kuzuia choice ya mfumo.

Spika ni cheo kikubwa sana ktk democratic Government 3 arms of State power as Head of Parliament na Raisi Head of Executive na Jaji mkuu Head of Judiciary.

Sugu aache tabia za kibongo flavour awe na staha mbona Chairman wake ana busara sana.
Hiyo option ya kugawa jimbo itamsaidia yeye hasitake kuleta ushindani na mfumo.

Uongozi wa Chadema utammanage accordingly.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Kwani Tulia Ackson Mwansasu yeye ananenaje?
 
Back
Top Bottom