johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Kwani anayemkimbia mwenzake ni nani?Akijifanya mbishi ataendelea na muziki wa kufokafoka hadi 2030.
Kwani anayemkimbia mwenzake ni nani?Akijifanya mbishi ataendelea na muziki wa kufokafoka hadi 2030.
Uchwara mwenzio Tulia anatetemeka halafu wewe unaleta tantalila?Utajua hujui!Akijifanya mbishi ataendelea na muziki wa kufokafoka hadi 2030.
😂😂😂 Mwenzako kaomba jimbo jipya kama Dr Kigwangalla PhDHarafu Kwa ubunge wake wa miaka 10 hakuna Cha maana aliganya,kwanza Serikali hata isigawe Jimbo tumpige chini huyo..
Tulia ana Cha kuonesha kuanzia Barabara Hadi Maji
Huyo huyo PhD holder wako anakimbilia kuomba jimbo ligawanywe, kaona/kanusa nini? Kama PhD yake itambeba aache jinsi lilivyo aje apambane na mpinzani wake.Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Ila Kuna watu wakorofi mweee🙌🙌🙌🤣🤣Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Hakuna anayekimbiwa, jiji ni kubwa na linahitaji uwakilishi unaostahili.Kwani anayemkimbia mwenzake ni nani?
Mind u, Tulia hakumshinda Sugu! Sugu alishinda ila maelekezo ya marehemu ni atangazwe TuliaAliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Sugu kamua hiyo njiti hadi itoe ngamaAliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Kwa nini anaomba Jimbo ligawanywe?Jiliwaze hivyohivyo.Akili za wapiga kura(ambao huwajui)ni tofauti na unachokitaka au kukiwaza.Dkt Tulia hawezi kumkimbia Sugu, yaan watu wenye akili waache kumchagua dkt.wa sheria, spika wa bunge waende kumchagua mwimbaji wa nyimbo za kihuni? Watu wa mbeya sio wajinga namna hiyo.
😀😀😀 Usikariri!Hakuna anayekimbiwa, jiji ni kubwa na linahitaji uwakilishi unaostahili.
Na serikali haijasema kuwa imeridhia kuligawa jimbo, kinaweza kubaki kama likivyo na Sugu akaangukia pua.
hana elimu?kwa hiyo hajui kusoma wala kuandika?phd ya tulia mimi inatatuaje matatizo yangu?Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Tena inatumia speed ya nautical miles. Kunawatu wanadhani hizi dhama watu watachaguliwa Kwa mbwembwe kama zamanii, Sasa hivi wasomi ni wengi saaana, na wanauwezo mkubwaa saanaa. Na tunao wasomi nguli zaidi na wenyekujenga hoja za kimaendeleo. Sio tunachagua mbungee wa kwenda kuuuliza swali bungeni eti Kwa Nini raisi hasafi kwenda njee, badala ya kuwasilisha KERO za jimboni kwake amabazo zipo nyingiii tuuu. Leo hii Jiji la mbeya linaenda kujengwa fly over road na 4ways road ambayo Kwa mbeya vitapunguza msongamano wa magari unaopelekea ajari za Kila mwaka. Mbeya inataka MSOMI sio comedian.PhD inakimbia?!
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Ingekuwa enzi za jiwe sugu ningemshauri asithubutu .Ila kwa enzi hizi za mh Samia mpenda demokrasia yeye hawezi kuviolate demokrasia kama enzi za mzilankende ambaye maamuzi ya wananchi ilikuwa option namba mbili.Tulia popote utakapokuwa Sugu yupo.Get preparedWewe mtu huwa hujitambui kabisa.Inawezekana hujui hata jinsi yako.
-Elimu unayoihitaji Sugu awe nayo ni ipi?Hao unaodhani wana elimu za kukariri madarasani wameifikisha wapi nchi?Muulize CAG.
-Unapoandika "kabila duni" ungeeleza huo uduni katika lipi.Nikurahisishie.Waulize wachaga,wapemba,wahindi nk wanaofanya biashara Kariakoo.Wakikujibu,ujitafakari kama unafaa kuvaa suruali au bikini.
-Kuhusu ubavu,hilo waachie wapiga kura ndiyo watakupa majibu.
Halafu,yule maliyemu aliyewabeba kwa wizi,ubabe,na miujinga mingine kwenye "uchafuzi",hayupo tena duniani.He is down-under earth!
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Kwa unavyowaza, sijui kama ata mtotoo wako utampeleka shulee. Mataifa makubwaa mtu mwenye shulee ndo Kila kituu wewe, sio comedianshana elimu?kwa hiyo hajui kusoma wala kuandika?phd ya tulia mimi inatatuaje matatizo yangu?
Comedian ndio anamchezesha Singeli Putin huko DunianiTena inatumia speed ya nautical miles. Kunawatu wanadhani hizi dhama watu watachaguliwa Kwa mbwembwe kama zamanii, Sasa hivi wasomi ni wengi saaana, na wanauwezo mkubwaa saanaa. Na tunao wasomi nguli zaidi na wenyekujenga hoja za kimaendeleo. Sio tunachagua mbungee wa kwenda kuuuliza swali bungeni eti Kwa Nini raisi hasafi kwenda njee, badala ya kuwasilisha KERO za jimboni kwake amabazo zipo nyingiii tuuu. Leo hii Jiji la mbeya linaenda kujengwa fly over road na 4ways road ambayo Kwa mbeya vitapunguza msongamano wa magari unaopelekea ajari za Kila mwaka. Mbeya inataka MSOMI sio comedian.