Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,657
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye.

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu ana hamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo.

USSR
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa halafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!

Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Asisahau CCM ndio wenye maamuzi ya ye kushinda au kutoshinda
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Popote pale Tulia Ackson atakimbilia ale nae sahani moja
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Yaaani kati ya dactar wa sheria MSOMI maarufu na mwanamziki, tuache MSOMI tukimbilie hip hop katika Dunia hiii kweeeliiii??. Hata kama yatagawiwa majimbo mawili halafu waseme tulia agombee yote atashinda asubuhiii.

Mbeyaa Sasa ivi imetuliaa saaana saana, kelele hamna, vuruguu hamna, Wala majigambo hayapoo, Kwa Sasa Hadi kiuchumi mbeyaa Sasa inapanda Kwa speed hii ni Kwa sababu watu wako katika kutafuta noti tuu.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!

Wana Mbeya siyo wajinga.
Wewe mtu huwa hujitambui kabisa.Inawezekana hujui hata jinsi yako.
-Elimu unayoihitaji Sugu awe nayo ni ipi?Hao unaodhani wana elimu za kukariri madarasani wameifikisha wapi nchi?Muulize CAG.

-Unapoandika "kabila duni" ungeeleza huo uduni katika lipi.Nikurahisishie.Waulize wachaga,wapemba,wahindi nk wanaofanya biashara Kariakoo.Wakikujibu,ujitafakari kama unafaa kuvaa suruali au bikini.

-Kuhusu ubavu,hilo waachie wapiga kura ndiyo watakupa majibu.
Halafu,yule maliyemu aliyewabeba kwa wizi,ubabe,na miujinga mingine kwenye "uchafuzi",hayupo tena duniani. He is down-under earth!
 
Yaaani kati ya dactar wa sheria MSOMI maarufu na mwanamziki, tuache MSOMI tukimbilie hip hop katika Dunia hiii kweeeliiii??. Hata kama yatagawiwa majimbo mawili halafu waseme tulia agombee yote atashinda asubuhiii.

Mbeyaa Sasa ivi imetuliaa saaana saana, kelele hamna, vuruguu hamna, Wala majigambo hayapoo, Kwa Sasa Hadi kiuchumi mbeyaa Sasa inapanda Kwa speed hii ni Kwa sababu watu wako katika kutafuta noti tuu.
Angalia wapiga kura walivyo halafu urudi kuhariri ulichocharaza hapa.Haipigiwi degree.Ni mtu na watu.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Asipotangazwa mshindi atamlaumu Tulia au Rais Samia? Maana system kama inamtaka Tulia ana ubavu wa kuzuia?

Aache ujinga.
 
Yaaani kati ya dactar wa sheria MSOMI maarufu na mwanamziki, tuache MSOMI tukimbilie hip hop katika Dunia hiii kweeeliiii??. Hata kama yatagawiwa majimbo mawili halafu waseme tulia agombee yote atashinda asubuhiii.

Mbeyaa Sasa ivi imetuliaa saaana saana, kelele hamna, vuruguu hamna, Wala majigambo hayapoo, Kwa Sasa Hadi kiuchumi mbeyaa Sasa inapanda Kwa speed hii ni Kwa sababu watu wako katika kutafuta noti tuu.
PhD inakimbia?!
 
Back
Top Bottom