Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Arusha Mjini, Gambo naye anapambana Jimbo ligawanywe....Atambue atafuatwa huko na atakula fataki la Kisiasa.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa halafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!

Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
tatizo baange zinamsumbua, na anvyojiona kama anakubalika na maza vile..... tangu alivomualika happy birthday ni hatari!
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye...
Nami namuunga mkono Sugu asimwachie huyo Betina mpaka ateme bun'go
 
Mkuu ila ukumbuke kuwa sifa ya kuwa Mbuge wwa JMT, ni kujua kusoma na kuandika tu.
Kwa hizo sifa zingine za nyongeza zinaweza zisiwe na msaada kwenye hiyo nafasi. Hahaaa
Mtabaki manyumbu hivyo hivyo.ndio maana uongozi mzima wa chadema ni mbumbumbu.kasorp lissu tu.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Watamfuata Dr Tulia popote atakapogawiwa Jimbo kwa sababu Daktari huyo wa Sheria hafai kuwawakilisha Wananchi

Lema amesema haya huko Jamhuri ya twitter

Ndiposa namuuliza bwashee Lema Yeye keshamalizana na Gambo au ni kiherehere tu cha kisiasa?
 
Ukweli kabisa historia ya Mbeya jiji haioneshi umiliki wa mtu wa jimbo hilo! Chama chochote, Mtu yeyote anaweza chaguliwa jimbo la Mbeya jiji.

Lakini kwa sasa Huwambii kitu wanambeya kuhusu Dr. Tulia. Mizizi aliyojichimbia Dr. imeenda chini sanaaaa! siyo rahisi kwa Mr. Sugu kumng'oa aidha kupitia nyimboa zake au wavuta bangi na waleta fujo ambao wametulia sasa na Tulia. Mimi ni mchambuzi huru!! Fanyeni utafiti mtagundua ukweli huu.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye...
35000+ za Sugu dhidi ya 70000+ ndio kura kidogo?

Mnachekesha kweli nyie jamaa
 
Eti Kura kidogo Sugu alishindwa Sana na Tulia tena sio kwanini? Sugu Mbeya tulikuwa tumemchoka
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USS

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye.

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu ana hamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo.

USSR
Akili za kipimbavi izi tulia anazungumuzia kugawa mbea Kwa faida ya maendeleo maana kutakuwa kutakuwa na majimbo mawili yanayo jitegea
 
Kwa nini mtu atake jimbo ligawanywe?
Kuwa na raia wengi na eneo kubwa si ndio kila kiongozi anapenda?!
 
Betina wa gazeti la Sani labda atumie tunguli kumshinda Sugu. Back then alishinda kwa kubebwa na jiwe, tena kwa kura kiduchu, this time around huyu mdada mwenye sura kama mbuni atajua hajui.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa halafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!

Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Kabila duni ndio lipi wewe nutcase?
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa halafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!

Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Acha uhayawani hiyo PhD inawasaidia nini wanambeya
 
Kila nikisikia kitu inaitwa bunge then tulia ackson namkumbuka Shetani Magufuli. Namlilia mungu kuwa ni kosa gani tulilifanya mpaka ukaruhusu muuwaji wa democrasia na watu kuingia ikulu.

Napata nafuu baada ya kukumbuka huyo mwovu sasa yuko kuzimu anaungua kwa moto wa makaa ya mawe.

Tushukuru kwa kumuuwa. Imagine leo hii angekuwa hajafa nchi hii tungekuwaje leo
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye.

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu ana hamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo.

USSR

Huu ni ujinga mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi huru hata kura sijui kama walipoteza muda kuhesabu
 
Back
Top Bottom