Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 979
- 1,503
Una sikitisha sana... KWa karne hii unazungumzia mambo ya ukabila?,,,, Tena bila aibu eti PHD!! Hiyo PHD imeleta mabadiliko gani?...Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.
Wana Mbeya siyo wajinga.
Kukumbatia maji kama Jiwe.... Ni ujiingaa!!