Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Chama Dollar Matumbo Joto Muda Huu Kauli Hii Haiwezi Kuleta Usingizi
 
IMG_6830.JPG

Sugu asiturudishe kwenye utumwa wa kimaendeleo.
Leo kuna miradi mingi ya maendeleo Mbeya mjini na ata kimkoa.
Hatutaki watu wana vision ya maendeleo ya watu, watu kama Sugu.
Zaidi ya matusi HAKUNA LOLOTE Sugu aliifanyia Mbeya.
Acha kutusemea sugu ndo raise wa mbeya miaka 💯
 
Huyo tulia hio PhD ni kipumbavu Kama kwa position aliyopo kashindwa kusimamia serikali nyie wanaccm ni wajinga Sana kumpa mtu sifa za hovyo tuna spika wa ajabu Sana kuwahi kutokea tz yaan yupo yupo maskini Hana alijualo mnafurahia kuongozwa na wanawake

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Unasemtukana mwenye PHD nawakati wewe ata darasa la kwanza hukumaliza, huo si uzwazwa kweli.
 
Yaaani kati ya dactar wa sheria MSOMI maarufu na mwanamziki, tuache MSOMI tukimbilie hip hop katika Dunia hiii kweeeliiii??. Hata kama yatagawiwa majimbo mawili halafu waseme tulia agombee yote atashinda asubuhiii.

Mbeyaa Sasa ivi imetuliaa saaana saana, kelele hamna, vuruguu hamna, Wala majigambo hayapoo, Kwa Sasa Hadi kiuchumi mbeyaa Sasa inapanda Kwa speed hii ni Kwa sababu watu wako katika kutafuta noti tuu.
Wasomi ndio hao kina Prof kabudu waliomuingiza chaka kichaa mwenzao? Au unaongelea kina Kishimba na Msukuma?.
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.
Usiongee kuhusu elimu pimbi wewe . Nitajie wabunge wa ccm wenye PhD nikutajie walivyozipata! Yupo wapi Ben sanane. Yule aliyohoji PhD fake akaishia kuuwawa ikulu
Wana Mbeya siyo
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Viongozi wa chadema😂😂😂
 
Huyu Sugu hajielewi kabisa na matamshi kama hayo kama mfumo bado unamuhitaji Tulia kuendelea na uspika yeye ni nani kuzuia choice ya mfumo.

Spika ni cheo kikubwa sana ktk democratic Government 3 arms of State power as Head of Parliament na Raisi Head of Executive na Jaji mkuu Head of Judiciary.

Sugu aache tabia za kibongo flavour awe na staha mbona Chairman wake ana busara sana.
Hiyo option ya kugawa jimbo itamsaidia yeye hasitake kuleta ushindani na mfumo.

Uongozi wa Chadema utammanage accordingly.
acha utetezi mdogo au ndo pakutokea tulia
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Nani kakuambia kwenye siasa PhD Ina matter? Siasa ni numbers sio vyeti. Kama una vyeti na hauna attachment na wapiga kura wako usidhani utapata chochote. Kwa Mbeya Sugu ni zaidi ya cult na hiyo 2025 most probably tume itakua huru zaidi so Dr Tulia hawezi kushinda. Kwanza hana mvuto wa kisiasa Wala ushawishi sijui JPM alimuokota wapi.

Mind you alisimamia bunge kulinda mafisadi, kupitisha matozo yanayotesa wananchi n.k so ajiandae kunyolewa
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .

USSR
Aisee, masikini supika akitembea nshale akisimama nshale hakyanan 🤣🤣
 
Hapo ndio mtu anaonyesha uwezo wake wa kufikiri na Nia yake ya kuwa kiongozi,yani unagombea ubunge lengo nikushindana na mtu au kuwaletea watu maendeleo,ila hii nchi ukifikiria unapata kichefuchefu
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Suala la wabunge 19 linatia shaka phd yake
 
Back
Top Bottom