Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,147
- 1,436
acha nae huyo mbwiga, huyo CHAWA huwa wanajiita marafiki wa tuliahana elimu?kwa hiyo hajui kusoma wala kuandika?phd ya tulia mimi inatatuaje matatizo yangu?
acha nae huyo mbwiga, huyo CHAWA huwa wanajiita marafiki wa tuliahana elimu?kwa hiyo hajui kusoma wala kuandika?phd ya tulia mimi inatatuaje matatizo yangu?
AiseeAliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
U
Bora hata Sugu alituburudisha kwa nyimbo, hao wengine waliacha legacy gani.Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.
Wana Mbeya siyo wajinga.
Haya isaidieeTuko hapa kuisaidia CCM na siyo kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Ni wasiwasi wake tuu,Sugu hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili maana hana jipya..😂😂😂 Mwenzako kaomba jimbo jipya kama Dr Kigwangalla PhD
Sugu raha yake ni matusi tu, hana vision ya aina yoyote kwke binafsi na hata wananchi wa Mbeya.Kuna vitu vya kuwekeana ligi ila sio huu ujinga ... Binafsi naona ni changamoto ya akili kuwekeana ligi issue za politics na ikiwa ata yy sugu akipewa nafasi nyingine wala hakuna kikubwa atakacho ongeza kwa madlai ya taifa na iyo jamii ya jimbo lao .
Wewe ni mzima kweli? Unachagua mtu Kwa sababu aliwaburudisha? Kwa akili hizi Chadomo watasuboria sana kushika Dola.Bora hata Sugu alituburudisha kwa nyimbo, hao wengine waliacha legacy gani.
Endeleeni kumdanganya,binafsi simkubali labda kwenye mziki wake ila sio kwenye Uongozi.Anakubalika kote
Aje aseme miaka 10 amefanya kipi?Sugu raha yake ni matusi tu, hana vision ya aina yoyote kwke binafsi na hata wananchi wa Mbeya.
Mwenyekiti wa CCM mh Rais Samia alihudhuria birthday party ya SuguNi wasiwasi wake tuu,Sugu hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili maana hana jipya..
Kwa mfano wewe ungekuwa mpikura wa Mbeya unaweza mchagua Sugu mtu mweupe kichwani?
Achana na habari za Dr wa Sheria nk ila Tulia ana Cha kuonesha kwamba Kwa miaka 5 nimefanya mambo kadha wa kadha yanayoonekana kama Barabara za njia 4, Barabara za mitaa,maji,mashule, kuwezesha kina mama na Vijana ,kusomesha wanafunzi nk nkDkt Tulia hawezi kumkimbia Sugu, yaan watu wenye akili waache kumchagua dkt.wa sheria, spika wa bunge waende kumchagua mwimbaji wa nyimbo za kihuni? Watu wa mbeya sio wajinga namna hiyo.
Kama 2020 Dr Tulia alishinda kura za Halali na ilikuwa ndio first time basi this time around atamshinda Sugu Kwa kura nyingi zaidi maana ana vitu vingi vya kuonesha ambavyo Sugu hakuwahi kufanya akiwa Mbunge Kwa miaka 10Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Matusi ya nini sasaujonha unao wewe na mamako na hao wapuuz wako unaowaita system mashoga yasiyojua kupambana kwa jasho na kwa taarifa yenu nyie mazombi huyo bibi yenu mwenye ngoma anafatwa na sugu popote alipo atake asitake nguruwe nyinyi.
Kuna kuna mambo ya ukabila tena....Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.
Wana Mbeya siyo wajinga.
Hata sugu ni PhD holder. After all kila mtanznia ni PhD holder holder achana ni hizi formalities za kijinga kwa ajiri kuiba. Ndo mana Boko Haram u wanasema elimu ya magharibi ni haraamu ndo haya ma PhD siyo uprofessorHuyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.
Wana Mbeya siyo wajinga.
Muache ajitoe akili anadhani Bado watu wa Sasa ni wale wale wanaoamini vurugu zisizo na msingi..Hana akili.jamaaa hawez kushinda mbeya ten