Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

Yaani taabu ipo palepale unapo kuwa mwanasiasa usiye juwa kitu ila mbwatukaj4 kama yule alie imba ccm na andazi anachagua andazi kweli mtu kama huyu atakusaidia angalia hata hao walio kimbilia ulaya wanaona aibu haya tupe siri zako sugu ilamradi uwe na vina na mistari ya kweli.
 
Ulichokiandika ukikisoma unakielewa?
 
Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa halafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder Tulia!!

Sugu amekuwa mbunge kwa miaka 10 lakini hakuacha legacy yoyote zaidi ya kuchafua jiji kwa maandamano yasiyo na tija kwa wananchi.

Wana Mbeya siyo wajinga.
Kabila lina uhusiano gani na mtu?
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye.

Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu ana hamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo.

USSR

1689420784022.png

Yes! Nakuaminia Sugu ... Ugomvi wako huwa hauishi!​

Back
Top Bottom