The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,158
- 14,713
Anakubalika koteSasa Sugu nae huu ni uchokozi,si agombee anapokubalika zaidi?Au anakubalika kote Mbeya mjini ?
Anakubalika koteSasa Sugu nae huu ni uchokozi,si agombee anapokubalika zaidi?Au anakubalika kote Mbeya mjini ?
Hatoboi kwa Tulia 😎, 100%.😀😀😀 Usikariri!
Sawa hao uliowataja, nikomediani wasomiiii. Sio hawa wakwetu, hususani wasanii wa zamani, ambao bila kula mchicha wa kanada walikuwa hawapandi jukwaanii.Comedian ndio anamchezesha Singeli Putin huko Duniani
Comedian Trump ndio Wamarekani wanamrudisha Ikulu Marekani
Endelea kukariri!
huyo amechanganyikiwa. Hata lisipogawanywa hawezi kumshinda spika wetu anadanganywa na wapambe nuksi.Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea kwa kuwa anataka kumalizana naye .
Mwaka 2020 Dk Tulia alimshinda Sugu kwa kura kidogo na kuonekana kama alibebwa na sasa Sugu anahamu ya kumpokonya jimbo ili kulipa kisasi, kugawanywa kwa jimbo hilo kubwa kinaonekana kama namna ya kumnusuru spika Tulia asipokonywe jimbo .
USSR
Sawa.Basi uache mchecheto na kutetemeka.Hakuna anayekimbiwa, jiji ni kubwa na linahitaji uwakilishi unaostahili.
Na serikali haijasema kuwa imeridhia kuligawa jimbo, kinaweza kubaki kama likivyo na Sugu akaangukia pua.
Tanzania Msomi wa Viwango ni mmoja tu Prof Mark Mwandosya waliobaki wote wanamiliki vyeti tu!Sawa hao uliowataja, nikomediani wasomiiii. Sio hawa wakwetu, hususani wasanii wa zamani, ambao bila kula mchicha wa kanada walikuwa hawapandi jukwaanii.
Nimeanza kukudharauTanzania Msomi wa Viwango ni mmoja tu Prof Mark Mwandosya waliobaki wote wanamiliki vyeti tu!
Usinilazimishe tufananeNimeanza kukudharau
huyo ni raisi wa Mbeya haijalishi ili mradi ni mbeyaSasa Sugu nae huu ni uchokozi,si agombee anapokubalika zaidi?Au anakubalika kote Mbeya mjini ?
Duuuuuuh. Sio wewe ninayekufahamUsinilazimishe tufanane
2020 Magufuli kuruhusu Ubunge wa mseleleko kumewalemaza baadhi ya Wabunge wa CCMWa kizamani tungesema "Sugu katangaza kula sahani moja na Tulia mpaka kieleweke".
Hatuchagui mtu kwa sababu amesoma;tunachagua mtu anayejua wananchi tunataka nini;isitoshe kwa Mbeya mjini hata akigombea mmakone tupo tayari kumpa kwa sababu ukabila sisi hatunaHuyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Tuko hapa kuisaidia CCM na siyo kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Duuuuuuh. Sio wewe ninayekufaham
Mwenye elimu anaomba kumegwa kwa jimbo, Sasa nani afadhali.Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Ulichoandika hapa kinakudhalilisha sana kuliko huyo '"ziro sugu".Huyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.
Kwani Demokrasia inajali PHD? Unakuwa na akili kama za anayejiita USSRHuyu mr ziro Sugu hana elimu alafu anatokea kabila duni kabisa alafu anajiona eti ana ubavu wa kupambana na PhD holder!!
Wana Mbeya siyo wajinga.