Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Kwa bahati mbaya hii thread haieleweki.hotuba za upinzani huandaliwa na Lissu na Lema?hoja hujibiwa kwa hoja,ktk hotuba ya upinzani kumetolewa ac namba za benki pesa imeingia na kutoka hoja iwe ni kwa kazi gani? haya mengine ni "diversion"
 
Hii ni very serious issue,tusiijadili kishabiki,ni bora tukawa watulivu tupate maelezo ya CAG,nategemea CAG atakuwa diligent na kuanza uchunguzi mara moja juu hili.

Zitto ameshutumiwa kukiuka misingi ya Governance ukizingatia yeye ndio kiongozi mkuu wa chombo cha bunge kianachooversee governance ya mashirika ya UMA.

Tusiwe wepesi wa kutoa tafsiri za kisiasa,tulichukulie swala hili kama mengine yote.

Zitto Mwenyewe kamuelekeza CAG amchunguze,nasubiri nisikie akiachia nafasi yake kupisha uchunguzi.
 
Kutambaa kwa thread haina maana zzk ni maarufu bali comments nying zinz mponda zzk nyie ccm mmelaaniwa nyinyi na vizazi vyenu pambaf.

sometimes tumia akili na sio suruali yako yenye zeep nyuma
 
Ndio tusubiri huo ukweli kibwaso nataka tu nikuweke wazi hotuba ya wizara ya habari imeandaliwa na Lissu na kusomwa na Sugu na sio hiyo tu hata hii itakayosomwa leo,na hotuba nyingi za kambi ya upinzani alikuwa akiindaa Zitto ndio maana uliona zilikuwa na uzito tofauti na hizi wanazoaandaa hawa wajinga
 
Last edited by a moderator:
Kwa bahati mbaya hii thread haieleweki.hotuba za upinzani huandaliwa na Lissu na Lema?hoja hujibiwa kwa hoja,ktk hotuba ya upinzani kumetolewa ac namba za benki pesa imeingia na kutoka hoja iwe ni kwa kazi gani? haya mengine ni "diversion"
Wakati mwingine unashangaa sana,hii nayo hoja?, ,Lete vidhibitisho lini wapi,saa ngapi Lissu,msigwa nk wamehongwa?, kimtokacho mtu mdomoni ndio kimtiacho unajisi," Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko". CCM mlipoua Azimio la Arusha mkakosa maadili( moral justs), Mmebaki siasa za kupiga majungu za enzi ya zama za giza za mwaka 343-124BC,
Jifunzeni kushughulikia wakorofi,wasaliti na wezi ndani ya ccm vinginevyo chama kitabaki cha ukoo! Maana mmeanza kupeana nafasi na kuwaambia wakulima kuwa chadema ndio chama chao
 
Ndio tusubiri huo ukweli kibwaso nataka tu nikuweke wazi hotuba ya wizara ya habari imeandaliwa na Lissu na kusomwa na Sugu na sio hiyo tu hata hii itakayosomwa leo,na hotuba nyingi za kambi ya upinzani alikuwa akiindaa Zitto ndio maana uliona zilikuwa na uzito tofauti na hizi wanazoaandaa hawa wajinga
Acha ujinga na uongo wa wazi , ungeuliza hata yeye angekuambia usiandike ujinga mkubwa kiasi hiki.......
 
Sugu unapolishwa maneno na mbowe ukaongee bungeni changanya na akili zako tunatambua huna uwezo wa kujibishana kwa hoja na zzk.Kashindwa mama kifalanga,kifalanga wee ndo utaweza, kipindi cha mgogolo mbowe aliahidi kufungua kesi zidi ya zitto kabwe lakini mpaka leo hajafungua.Na wote mlio munyooshea kidole zzk 2015 mtaanguka vibaya kwenye majimbo yenu.

swali la msingi kafanya dili la kifisadi au hajafanya kama kafanya hafai no matter what
 
Mbona TANAPA wanalipa mabilioni ya fedha CNN na BBC na kwinginepo kujitangaza hamsemi..!! How can you question TANAPA kuwatumia wasanii wa ndani kujitangaza ili kukuza utalii wa ndani..?? Ishu hapo ingekua kama ZZK alipiga hizo hela mwenyewe akawarusha wale artist waliotumika BUT if that is not a case hapo hamna issue isipokua MAJUNGU..!! Me nadhani SUGU alitaka apewe hilo dili yeye but unfortunately he is not that popular anymore and only SIASA za maji taka kama hizi ndo zinamfaa...!!

issu ya msingi ni kwamba kama dili ni ya kifisadi zito kakosea ila kama ni ya haki basi halali yake lakini la msingi zaidi mbona hakuwahi kuweka bayana kuhusu mali zake kama kiongozi wa umma,? That means alikuwa anafanya siri na kwa nini afanye siri?
 
Twendeni taratibu wanafiki wote mungu atawaumbua tu hata iweje zitto hana kosa anaonewa lakini yote yanamwisho.
 
Fungua LINK Hii http://ubuntuone.com/3Yvcq8P9kqiHBUtIcCzFB5 MSIGWA, LISSU NA LEMA ;- WAHONGWA NA PROF. MUHONGO na MASWI kumchafua ZITTO KABWE na WABUNGE WENGINE WOTE WAZALENDO. wamdhurumu SUGU, nayeye akataa kusoma mashtaka ya LISSU dhidi ya ZITTO KABWE kwenye Hotuba yake.
kwahiyo hii ni id mpya ya zitto au wewe ni karani wake tu? naona tangu jana unatumika vilivyo na rais wa lekadutigite.
 
Hii ni very serious issue,tusiijadili kishabiki,ni bora tukawa watulivu tupate maelezo ya CAG,nategemea CAG atakuwa diligent na kuanza uchunguzi mara moja juu hili.

Zitto ameshutumiwa kukiuka misingi ya Governance ukizingatia yeye ndio kiongozi mkuu wa chombo cha bunge kianachooversee governance ya mashirika ya UMA.

Tusiwe wepesi wa kutoa tafsiri za kisiasa,tulichukulie swala hili kama mengine yote.

Zitto Mwenyewe kamuelekeza CAG amchunguze,nasubiri nisikie akiachia nafasi yake kupisha uchunguzi.
Kwa bahati mbaya hili suala la zitto litawaumbua watu wengi sana ndani siasa hasa chadma zitto hajawahi kushindwa kwenye harakati zake,
Kama watakuwa wamempakazia walahi nawaambia sugu na chama chake atafute pakujificha moto atakaowasha zitto utakuwa mkubwa sana.
 
Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.

Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.

Kama NSSF inamdai si wakamate mali alizoweka kama dhamana? Kwa hyo watu wasiongee mambo mengine sababu mbowe anadaiwa?
 
CCM inabidi waelimishwe maana ya conflict of interest,mgongano wa maslahi!mtu kama MSALANI anashinda chooni atajulia wapi
 
Back
Top Bottom