Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Huyu Zitto ameitetea sana mitambo ya Richmond inunuliwe na serikali, hayo yalikuwa maslahi binafsi,
Mchange mshirika namba moja wa Zitto anapata wapi Mil 28.6 anaingiza kwenye akaunti ya Leka Dutugite ambayo wamiliki wake ni Gombe advisors na Wasanii ( wasanii gani?) Mmiliki wa Gombe Advisors ni Zitto Kabwe ref BRELLA kwanini Hela ya TANAPA na NSSF zisiingie kwa wasanii moja kwa moja, au Zitto ni msanii?
Ni kweli mama yake anaumwa na mjumbe wa halmashauri kuu wa cdm pengine hawajaenda kumjulia hali kwa sababu ya mgogoro uliokuwepo, kwa nia mzuri unaweza kwenda likatokea jambo, coincidentally ukausishwa.
Mimi nashauri wasiende, hata hivyo kuuguliwa siyo sababu ya kuachwa kuhusishwa na kashfa nzito kama hiyo.
 
Watu wengine hizi ID zenu mlishazijengea heshima kwenye hoja zingine nyingi tu..........usijiingize kwenye hizi siasa kichwakichwa ukaishia kuvua thamani yako..........Kampuni imesajiliwa kuwa si ya kibiashara sasa ilichofanya na NSSF na TANAPA ni nini kombolela?

Walilipa kodi? unadhani kampuni isiyo ya kibiashara ni tiketi ya kutolipa kodi? Zitto ni mwenyekiti wa PAC unafikiri hao wasanii ndio walienda kuomba hiyo kazi huko NSSF na TANAPA bila influence ya Zitto ? wewe binafsi umewahi kusikia hayo matangazo ya NSSF na TANAPA? kama hujawahi kuyasikia kuna Value for money hapo? Unajua hao wasanii wanasema nini baada ya haya yote?

Ukiamua kuwa mkweli simamia ukweli maana Uongo unatabia ya kujikataa wenyewe hata ukilazimisha vipi..........kuna wakongwe humu wameshaamua kupotezea hizi issue maana zinakatisha tamaa...........

wewe ndio unashusha hadhi ya JF kwa ufahamu wako mdogo. kama kitu haufahamu ni bora ukajifahamisha sio ku-assume unajua kumbe hujui.

1. Nakupa homework ya kwenda kutafuta maana ya kampuni kwa kina, marefu na mapana. Hoja yako ya kwanza tu inaonyesha you have no idea maana ya kampuni isiyo ya kibiashara ni nini. Neno "isiyo ya kibiashara" ndilo linalokuchanganya. Hii ni kutokana na lugha ya kiswahili kutokuwa pana vya kutosha kuelezea dhana hii, hivyo kama unaweza, tumia kiingereza uelewe vizuri. "isiyo ya kibiashara" inamaanisha haina shareholders, wala haina share capital, wamiliki (in this case zitto na wenzake) hawachukui FAIDA yoyote inayokuwa generated na shughuli za kampuni za chini yake. Wao ni wasimamizi tu.
Ingekuwa hivyo unavyodhani wewe malalamiko haya yangeanzia kwenye yote yanayomilikiwa na dini na viongozi wake mfano Unaweza kumshutumu Kardinali Pengo kwa hilo hilo unalomshutumu zitto, kwa kuwa kanisa katoliki linamiliki makampuni mengi tu ya biashara, vitega uchumi etc, ambayo yanaweza kuwa na uhusiano wa kibiashara na serikali kuwa sasa amekosa uadilifu yanapokuja masuala ya katoliki vs serikali? That is a long strech!

Kampuni kusajiliwa kama "company limited by guarantee" haimaanishi imekatazwa kufanya biashara. Biashara zote kati ya makampuni ya Zitto na TANAPA na NSSF ni halali kwa mujibu wa sheria. Vinginevyo lete sheria moja tu inayokataza kampuni isiyo ya kibiashara kufanya biashara.

2. walilipa kodi? kwa nini hilo liwe swala lako? Huwa unaulizia kampuni nyingine zote nchini Tanzania kama zimelipa kodi pia? Ni nini kinachofanya hii ya zitto iwe so special mpaka uulize kwa hamaki "walilipa kodi"? Hiyo ni kazi ya TRA, unless of course una sababu za msingi za kuleta mashaka juu ya suala hili. Vinginevyo unaonekana kama mtu ambaye ameishiwa hoja za kumchafua zitto kwa hiyo anaokoteza hoja kwa kutapatapa.

3. Ukithibitisha kuwa kampuni hizi zinadeal na TANAPA na NSSF PEKEE hapo hata mimi nitakuwa na la kusema kuhusu conflict of interest. Lakini taarifa zilizopo ni TANAPA na NSSF ni baadhi tu ya wateja, wengine wakiwa makampuni ya simu n.k, na sio the only clients. Ukishaondoa uwezekano wa zitto kupata pia faida katika hoja namba moja hapo juu, sioni tatizo lolote hapa. Conflict of interest inakuwa mbali sana kama vile ku-suggest kuwa Zitto pia kwa kuwa ni mwanachama wa NSSF basi ana conflict of interest, au Zitto kwa kuwa ni mwenyekiti wa PAC asiende kutembelea mbuga za wanyama zilizo chini ya TANAPA.
Ukitaka conflict of interest labda uwaulize hao wapika majungu kama ni sahihi kwa mwenyekiti wa chama kukikodisha mali chama anachokiongoza, wakati yeye huyo huyo ni sehemu ya maamuzi ya chama hicho hicho, hiyo ndio inaitwa conflict of interest!

4. value for money? Hili ni suala ambalo lingetakiwa kuibuliwa na CAG. Ni uchunguzi wa CAG pekee katika mashirika haya ndio unaoweza kusema kama mradi ulikuwa na manufaa au mradi ulikuwa wa kifisadi kutokana na influence ya zitto. Na Zitto mwenyewe ameshatoa challenge kwa nyinyi kupeleka ushahidi kwa CAG au hata hadharani ili uchunguze ufanyike katika hili na yuko tayari kuwajibika!

5. wasanii wanasema nini: Lete ushahidi basi tuone wasanii wanasema nini. Ninavyofahamu katika haya makampuni ya chini ni wasanii wenyewe ndio wanahisa, na wanafaidika moja kwa moja. Ila bado ninaku-challenge ulete msanii japo MMOJA TU aliyeliwa hela zake na zitto au ufisadi wowote ule.
 
Hata Banda wa malawi alikywa akiwazihaki waleta changamoto lkn sasa ana nena kwa lugha zote..ndivyo itakavyokuwa kwa ccm na wafuasi wake siku zijazo.
 
Mkuu sio 2015 tu. CHADEMA hawatakaa waupate urais wa nchi hii milele na milele.
Bora iwe SACCOS maana
Kichukua Mkiti NSSF Sugu ananyamaza
Leo kachukua Zitto basi kelele
hii ndio ile ya kUKU nakunya ila akinya BATA HAPANA KAHARISHA HUYO
 
Hata Banda wa malawi alikywa akiwazihaki waleta changamoto lkn sasa ana nena kwa lugha zote..ndivyo itakavyokuwa kwa ccm na wafuasi wake siku zijazo.

alikywa = alikuwa
Akiwazihaki =akiwadhihaki
 
Umeshasikia kutoka upande wa pili kwa Mh.Zitto? au umeimeza nzima nzima.

Tunasunbiri na yy aje mbele ya Bunge tukufu atueleze ni NGO gani inayolipwa Milion 120 ndani ya weeks?Isije ikawa anasema HATAKI posho kumbe anachukua mara 100 zaidi ya posho halali!

Anyway tunamsubiri
 
kaka kama kuna ukweli ni aibu hii kwa viongozi wa UPINZANI.Sasa najiuliza WaTanzania tutaweza kuwa na IMANI na viongozi waUPINZANI?Inastua kama haya yanaendelea.Juzi tulikuwa na kesi ya Mbowe leo tuna ya Zitto,naiuliza kuna nini kinachoendelea?

Sasa km hutaki kuamini Watu wanaofichua uovu bila kujali mtu wala itikadi,, sijui unataka kumwamini nani
 
Sasa km hutaki kuamini Watu wanaofichua uovu bila kujali mtu wala itikadi,, sijui unataka kumwamini nani

Kuna vitu unapovisikia siyo sahihi kutuhumu mtu.Ila nimeweka kama warning tu.
 
yani wewe barubaru ni msomi wa phd kweli unakuja na hoja nyepesi na dhaifu namna hii?

poor Tanzania ndio nchi pekee duniani huwezi kutofautisha akili za wasomi na walioishia elimu za msingi.

mahaba haya yote kisa ni mwislamu anayedhini hadi uzeeni na kuoa hataki?

Kwani hapo inatakiwa hoja au kutazama sharia inasemaje? Hebu tazama sharia zenu zinakataza mbunge kuwa na kampuni au NG'O na kufanya kazi za kitaaluma?

Nimekupa mfano Mtemvu wa temeke anayo na ameiweka hadhwarani huko Bungrni kwenu wakti akichangia bajeti ya Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Na hata Mbowe alisema humo humo bngeni kwenu deni lake analodai ATCL kwenye bajeti ya Dr Mwakyembe.
Au akiwa nay Zitto ndio Nongwa?

Lakin mwisho mie Ph.D yangu nimeipata kwenye vyuo vinavyotambulika na kuhishimika Duniyani na sio kwa kupitia skuli za saint.. saint .. na mwisho kupata kama ile ya Katibu mkuu wa chama chako.

Pole sana

 
chadema wanatapatapa kimekuwa chama cha matukio hoja za sugu ni dhaifu sana ningemjibu ila ngoja nisimsemee zitto
 
We mpuuzi what phd?hata akina mrema wanazo lkn kichwa tupu.....swala ni jinsi pesa ilivyoingia na kutolewa kinyemela,mi mwenyewe ni profesa from Oxford university....unasemaji kwa hili unachakuargue hapo?mamluki wa ccm we,kaa kimya.
 
Hakuna mwanachadema anayefurahia kifo cha mwenzie.....nyambafu mamluki wa ccm we...mchakachuaji mkubwa.
 
Back
Top Bottom