Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Mi ni mmoja wa watu wanaomheshimu sana mh sugu lkn kwa hili amejishushia heshima kwa situation iliyokuwepo ya zitto kuuguliwa na mama yake chadema wangeinezea hili suala kwani kwa kufanya ivo hlf wanajua kuwa zitto anauguliwa na mama yake hawakumtendea haki isitoshe mama zitto ni mwanschama wa chadema kwa kulijua hilo kwamba hawa ni wanachama wetu na pia mmoja anamuuguza mwenzake walipaswa kuonyesha heshima na utu na cyo kuwashambulia km walivyofanya....na pia nitoe angalizo kwa mh sugu hya anayoagizwa amfanyie zitto Kuna siku atakuwa kwny same situation au vinginevyo na atafanyiwa haya haya kwani what goes around comes around
 
Inasikitisha Sana, desturi zetu haziruhisu kabisa, tumwache Zito amzike mama yake.....tunapokwenda sipo.....leo kwangu kesho kwako.....
 
Ni sawa sawa tuu na kutoboa jahazi mlilopanda wote tena mpo katikati ya bahari.

Hapana. Hapa ni kumchukua MTOBOA Mtumbwi mmoja na kumtupa nje ya Mtumbwi (MHUJUMU UCHUMI) ili kuokoa maisha ya wanasafari wengine kwenye huo Mtumbwi (Hapa ina maana Watanzania wote).
 
Inasikitisha Sana, desturi zetu haziruhisu kabisa, tumwache Zito amzike mama yake.....tunapokwenda sipo.....leo kwangu kesho kwako.....
Mmechangia kumuua ili mje mmuache amzike peke yake?? Rejea hotuba ya sugu bungeni wiki iliyopita
 
Katika suala la pesa na rushwa Zitto sii wa kumuamini hata kidogo.Nikikumbuka alivyopewa pesa CHC tsh 50m ili amtoe Mkulo uwaziri sina hamu naye hata kidogo
 
Sio kosa kufanya biashara mbona viongozi wengi wanafanya biashara akiwemo Mbowe,Ridhiwani, Mkono na wengineo!
Cha msingi iwe ni ya haki bila mizengwe!
Angalia usafiri wa treni umedumaa kwasababu viongozi wengi wana malori na mabasi ya biashara je nayo tusemeje!
nadhani CHADEMA wajipange vizuri kuliko kila siku kuangaika na mtu mmoja inachosha! huku viongozi wengine wakiiba kupitia mikataba ya siri! Na pia mbona majibu juu ya kamati ya manunuzi kuwa mifukoni mwa viongozi wa ngazi za juu za CHADEMA haijibiwi kama alivyochambua Mkumbo aliposimamishwa uongozi!
Angalieni watanzania wa leo sio wa jana!
 
chadema can they take care of this Nation?? I wonder
 
sugu ni mchawi sana

Nimesikitishwa na chama changu kwa hili.Jamani
kwenye maswala ya ugonjwa na umauti tunaweka
pembeni tofauti zetu.Sijapenda kuona viongozi
hata mmoja aliyejitokeza kwenda kumwona mama
hospitality mpaka raisi anakwenda halafu viongozi
Wangu wa chama hata mmoja hakuonekana...NI
AIBU KWA CHAMA CHANGU..
Leo nimepitia account za viongozi Wangu wa
chadema kwenye facebook hakuna hata mmoja
aliye mpa pole isipokuwa Dada yangu Halima
mdee...
Jamani jamani kila roho itaonja umauti tuweke
tofauti zetu pembeni wakati huu wa majonzi pole
kaka Yangu Zitto Kabwe..
 
Nyie maccm wanafiki wakubwa kabisa,swala alozungumzia sugu lina husu swala la pesa za umma,halina uhusiano kabisa na propaganda za mahusiano ndani ya chama........magamba hamna dira mnaleta inferior wenu ili mvune point......kwanza hiki ni kipindi kigumu kwa zitto na chadema kwa kumpoteza mama yetu mpendwa mh Shida...Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi....pole sana mh Zitto chadema iko pamoja na wewe ktk kipindi hiki kigumu...epukana sana na hawa magamba.
 
Crazy magamba,hv hamjui kufiwa nyie..mh zitto amefiwa nyie bado mnaleta propaganda za vyama....nyambafu kabisa..sisi wote wetu yaani zitto na sugu,ccm mngekuwa na maana msingekolimba na kuwalimboka wananchi.
 
Wewe.Mtu wa vichakani........Kakote Bank halfu deadline ifike siku umefiwa halafu uwaambie km Umefiwa wasikudai....Hapa Zitto anaongelea hela ya wavuja jasho si Rambirambi hii mwehu wewe..Zitto asidhani kuwapa wana kigoma wake hela ya wavuja jasho ndio uzalendo......anajidai si mkabila,si mkanda wakati kundi lenye wasaniii wa kigoma tupu ndio wanchukua hela ya wavuja jasho..sidhani km mna akili timamu kenge nyie.
 
[URL="http://www.selfgrowth.com/articles/going-desperate-signs-of-a-desperate-woman"]Signs Of A Desperate Woman[/URL]
itakusaidia ndugu
 
Pole sana....chadema ni imara lkn si kwa kutukana ila kwa nguvu ya hoja...usiwe km ccm.
 
Back
Top Bottom