Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,756
- 7,540
Mbona sioni uhusiano kati ya Joseph Mbilinyi na hiyo barua? Je Mbilinyi alipaswa kwenda kumuandikia hiyo barua kwa kiswahili au kingereza kizuri? tumesema siku nyingi; kimombo kina wenyewe! Tukuza lugha yet ya kiswahili kwa kuitumia kila mahali!