Joseph Mbilinyi anavochemka!

Mbona sioni uhusiano kati ya Joseph Mbilinyi na hiyo barua? Je Mbilinyi alipaswa kwenda kumuandikia hiyo barua kwa kiswahili au kingereza kizuri? tumesema siku nyingi; kimombo kina wenyewe! Tukuza lugha yet ya kiswahili kwa kuitumia kila mahali!
 
Hicho kiingereza kinachekesha kweli kwa nini asingeandika kwa lugha ya kiswahilitu akaeleweka au kama alidhani Kiingereza ni deal basi angetafuta mtu wa kumwandikia kuliko kutia aibu? VilevileSugu anahusika vipi kwa hapa?
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

sensa+%281%29.jpg
 
Swali la kujiuliza ni je, mawaziri vivuli wanalipwa mshahara au posho kwa kazi ya uwaziri vivuli? Kama jibu ni ndio basi Sugu anawajibika angalau kufokafoka kidogo.
 
sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!

MM ivi kweli kuna muda wa kusema na magamba kwa sasa bora mbilinyi akumbushwe na aendelee kuwatetemesha !
 
tatizo kiswa english, maadili ya lugha hayaluhusu, mswahili hato elewa pia mwingereza hatoelewa, tumia lugha moja kufikisha ujumbe sehemu husika.
 
SSM imekemewa hadi na wananchi mafukara na haisikii wakati ndiyo inategemea kura huko. Je watamsikia Mbilinyi wakati huyo Mushi aliwekwa na ni mtu wao? Sasa serikali ikiitwa dhaifu na legelege mnabisha? Viongozi kama huyu aliyeandika hii barua wako wengi.

Sasa kichekesho kingine ni maofisini kuna watoto wa vigogo tena eti wamesoma shule nzuri we mwambie akuandike tu minutes za kikao au karipoti kama hutazirai!!! Nepotism at work!!! Na ndiyo maana hatusogei!!!

Na kwa hakika huo mgogoro wa Malawi tusipopeleka team yenye brain jua tuta loose tena kilaini kabisa!!! Burundi na Rwanda nao watasema Ziwa Tanganyika!!! Subiri!!
 
Ingekuwa ajabu sana kama ungechangia mjadala huu bila kuitaja MoU (sijui kwa nini waisilamu wengi wakisikia MoU wanajua ni makubaliano ya kanisa na serikali, hawajui kama mbali ya kanisa na serikali, kuna MoU nyingine nyingi tu!). Kwa kuwa MoU si mjadala hapa, turudi kwenye barua ya sensa!

Definition for mou:
Web definitions:
A memorandum of understanding (MOU or MoU) is a document describing a bilateral or multilateral agreement between parties. It expresses..
 
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

sensa+%281%29.jpg

Mwenyekiti wa mtaa anatokea Chama gani?
Usipendelee sana Cocktail ya Gongo, Chimpumu, Ulanzi na Wanzuki, inakupotezea uwezo wa kufikiri!!
 
Tanzania tuna tatizo kubwa sana, nadhani alichotaka kusema mtoa uzi sio hicho kinachojadiliwa, yeye alitaka watu waone usahihi wa lugha ilivyotumika. Suala sio kiingereza bali sio kiingereza sanifu.

Kwa maana hiyo, tatizo ninaloliongelea hapa ni uwezo wetu mdogo wa kuandika lugha kwa usahihi. Na tatizo sio la kiingereza au lugha yeyote ya kigeni ila hata lugha yetu adhimu, ya kiswahili. Tunafanya makosa mengi ya kiuandishi na hata wakati wa kuzungumza.

Nadhani hii ni fursa ya kiuchumi, wajitokeze wataalam wa lugha( fasihi andishi na fasihi simulizi) soko la ndani bado ni kubwa na wanaweza hata kuwasaidia watoto wetu.

Yes; una 'idea' ila umezunguka mbaaaaaali bila ku-hit the target. Nadhani mada inachokoza na kudadisi kitu kimoja tu MFUMO WETU WA ELIMU. Whether ni Kiingereza, Kiswahili, au hata Kiarabu - in short tuna tatizo kuu katika elimu na kama hawa ndio aina ya 'watendaji' wetu huko serikalini na hasa 'halmashauri' ambao ndio wako karibu kabisa na wananchi basi tutegemee anguko kuu.

Serikali makini inatakiwa ku-review kwa haraka mno mfumo wetu wa elimu kuanzia ngazi ya familia hadi vyuo vikuu. "St. Kayumbas" hazijaanza kuingiza outputs wao kwenye system na hali iko hivi; sijui watakapowasili hali itakuwaje!
 
Absolutely true!
 
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

sensa+%281%29.jpg

OOOHHH!!! My goodness, is this a new style of English language in switch?

Anyways, kwanini aliandika kwa kidhungu jamani.....? au kwasababu maeneo anayoishi huyu Chairperson ni kwa wadhungu and full of hotels...looooh, that's very disappointing and nugatory.

The system produces sick and illiterate (noisome) people, vividly as we discuss on this post.

But how come, somebody says....Mbilinyi J. (Sugu) has failed and should be responsible for poor and illiterate Tanzanians who fail to comprehend and write a good letter.... i disagree and can't avoid to say....wewe uliyepost hii kitu...you're nothing than being cheaper and less informed in making good and strong arguments.

THE RESPONSIBLE ARE:

(1) CCM (ruling party directing and carrying out policies of the country),

(2)the Government (implements policies laid and by wishes of CCM but without partisan discrimination),

(3) the education system (sexing btn party role + govt in move...this makes the education system viral/ viable and likable); and

(4) stakeholders (the entire people belong to this nation have to play hard role.....i see it all political and chit chat thing (not that of our loving JF..).

THANKS JF...I enjoy my day when i find out that JF is a beginning daily.
 
Kilaza @ work,jakaya mrisho kikwete anachemka,amechemka mangapi????????????????????
 
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

sensa+%281%29.jpg

Huyo nae tunamlipa kodi zetu kila mwisho wa mwezi? ina maana Temeke nzima hakuna vijana wa kuandika barua inayosomeka vema? angeliandika basi kiswazi basi kama alivyoanza mwanzo!
kazi ipo.
 
tatizo kiswa english, maadili ya lugha hayaluhusu, mswahili hato elewa pia mwingereza hatoelewa, tumia lugha moja kufikisha ujumbe sehemu husika.
Bora hata ya Sugu kachapia lugha ya kigeni kuliko wewe unyechapia hata kiswahili umesema hailuhusiwi badala ya hairuhusiwi nani zaidi ya mwingine wacha kuropoka bila kutizama wewe umekosea wapi
 
Dah?! mkuu Zanzibae huru, kuna mambo kadhaa labda hujayaelewa au umeyaelewa na kupuuzia/kupotosha:
1.Sidhani ni haki au uungwana kutumia lugha hiyo kwa Joseph Mbilinyi(MB)
2.Inawezekana hujafahamu majukumu ya Serikali kupitia wizara husika na majukumu ya wizara vivuli.
3.Imani yako kwa Serikali ni kubwa kiasi cha kuamini kuwa kila wanapokosolewa/kushauriwa hukubali (CONSTRUCTIVE CRITICISM)
4.Tuhuma/malalamiko yako yangemhusisha kwanza Waziri wa Wizara husika na kujiuliza amefanya nini so far, and in addition kwa kushiriliana na Waziri kivuli wamekubali vipi ushauri waliopewa/au umekataliwa kwa misingi ipi.

Mwisho, ni vizuri kujua nani anahusishwa(The right channel) kwa sababu huyo uliyemtaja ni waziri kivuli(Yaani hata kama Waziri hatakuwepo, haimanishi kuwa yeye atakaimu ila Naibu wake), shortly yuko nje ya System(hatamu ya uongozi).
Huwezi kumlaumu Mh. John Cheyo/Prof. Lipumba/Dk. Slaa kwa makosa/uzembe uliofanywa na Rais(Just mfano tu mkuu).

Naam mkuu, binafsi sijaona sababu ya kuhamishia Lawama kwa J.Mbilinyi instead of the head of the ministry
 
Back
Top Bottom