waliopo ndani ni viziwi
huyu yuko nje alitakiwa apiganie na ikibidi apewe taarifa na a go public na maelezo toka kwa jamaa wa wizara ya sheria na TAMISEMI lakini wapi
kilichobaki ni kuja kusemea humu labda atasoma asubuhi hiii
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko
hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?
Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya
![]()
Nashauri siku nyingine ukiamka uwe unasugua kinywa na kunawa uso kisha si vibaya ukichamba koo kwa kikombe cha kahawa au chai ya rangi kabla hujakaa kwa kutumia kiungo cha kukalia kisha ufikiri na kuandika humu. Huu ni ushauri unaoweza pia kuupata kwa mtaalam yeyote wa saikolojia ya vichaa.
sasa hapa mpuuzi nani kati yako wewe na sugu??pumbav jazz bend weH!
nani anabisha kuwa hiyo sio product ya morogoro m university?
Kwa faida ya wale ambao hawawezi ku-download hilo tangazo, naomba ni-post neno kwa neno barua yenyewe (main body only). Dah! hizi lugha jamani. Ningekuwa mimi ninge-resign leo leo:
TO
THE ALL RESIDENCE AND
RENTER AT APARTMENT, HOTEL
AND OTHERS
REF: CENSER COUNTING PEOPLE 26 AUG 2012
Refer the above mentioned Subject
Remember the Government of Republic Union of Tanzania announce on 26.08.2012 is the day of counting people [censer] for all living visitors in Tanzania. This is legal order for Bureau Statistics No: 1 of 2002.
Because of this day any people who sleep at your House, Hotel, or residence apartment on 26.08.2012 he or she must be accountable in this censer. Also all people must answer this Question from the Censer Officer.
ORDER
If your refuse to be countable or stop censer Officer to do the job of counting people from 26.08.2012and 7 days more its is criminal case, then you will be charged in the court and fine with sentenced in prison for 6 month. The please give all assistance Censer Officer what he or she need