You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

Acha unafiki unadhani ndo wabunge wa magamba kutwa nzima wanalala. M4C daima.Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Mi nimeamua kumshauri baada ya kuona wabunge wengi wa ccm wakijitutumua kutetea wananchi wao takriban kila siku wakati wa maswali.
Sugu tangu asome bajeti, hajachombeza swali japo tumjue yupo, ukilinganisha na akina Jenister, Nkamia, yule mama mbunge wa kondoa etc.
Ila Majimarefu ana PHD?You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Kaulize NECTA.Naomba matokeo ya Sugu ya form iv...
Ukiambiwa uthibitishe utaweza?Tofauti yake na maji marefu ni kuwa yeye anavuta bangi na maji marefu havuti
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Ataishi vipi nje kwani hana nyumba ya kuishi?Ni darasa la saba, Sugu form 4, ka ishu ni shule.
Pia Sugu ana-exposure ya kuishi nje mda mrefu.
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.
Ila ana afadhali kuliko yule prof jumanne aliechomekewa vijiji....yule ndie kilaza pamoja na maPHD yake!!mtake msitake SUGU kilaza.
personal attacks hizo...Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.

Kaulize NECTA.