Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu


Chris Lukosi, Sikutegemea kama ungeweza kutoa mchango mzuri na wenye busara namna hii kutokana na jinsi wanaChadema na wafuasi wengine wa vyama vya upinzani wanavyokufahamu hapa JF. Ulichokifanya kinapaswa kuigwa na kila mpenda amani,haki,usawa,utu na maendeleo katika nchi yetu!

Tofauti zetu katika elimu,madaraka na dini zisitufanye tuwe maadui! Elimu ni ujuzi ambao mtu anaweza kuupata kwa kwenda shule,kurithishwa kwa maelekezo na vitendo na wakati mwingine mafunzo sehemu ya kazi. Mara nyingi kupendwa kwa mtu, nini amefanya au atafanya kwa jamii ndivyo humweka mtu madarakani na siyo elimu yake!
 
Watu wa namna yako wameesha fariki. Kwasbb wana mawazo mfu
 
Yule ni mhuni tu, nzi alidondokea kwenye maziwa na haitatokea tena wanambeya wafanye hilo kosa
 

kazungumzia sana suala la serikali kung'oa watu kucha na meno bila ganzi...aliwakumbusha ccm kushindwa kulinda tembo wetu na k'hili pia nk.
 
Kagombee na wewe jimboni kwenu. Kama muhuni aliweza gombea akapata, ni rahisi sana wewe muungwana kupata ubunge!!
 
Pia nakumbuka aliwahi kuhoji juu ya sklepa za ndege za ATC ziko wapi?
 

Hahha! Kakumbuka Msemo wake wa ...
Sisi sote ni Ndugu, Tatizo ni MACCM.
 
Kwani Form four wanashida gani?...... je; unafahamu kwamba GREAT THINKERS WA ZAMANI HAWAKUSOMA SANA?
BAna sometimes think in capital lettiters
pengine nchi hii ni ya graduate tu!
 
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.

Wewe mwenyewe huna uwezo wowote kisiasa....ni sawa na baba yako hana uwezo wa kuongoza nchi.ndio maana ikitokea tatizo dogo tu nguvu inayotumika ni kubwa utadhani nchi imevamiwa na majeshi ya nchi za jirani.wewe ni tatizo hapa Tanzania hufai hata kidogo.
 
kama siyo mwanasiasa ni nani sasa,na kama hujui siasa kwa nini useme Sugu hana uwezo?

Mkuu umemuuliza swali la.msingi.huyu ridhiwani akili yake ni sawa na mwinguru hua nikiona comments zake huwa nachefuka roho.yeye mwenyewe hana uwezo wowote kisiasa.pia hawezi jilinganisha na sugu.mwenzake ameishi USA zaidi ya miaka 10 , exposure ya sugu ni kubwa kuliko hata rais wa nchi.acheni ujinga.
 
Watu wanaishi USA miaka 10 kumbe wanafanya kazi supermarkets...atuambie alichofanya USA....
 

Ehe wewe no mkurugenzi wa kitu gani hasa? Hebu tujuze
 
Watu wanaishi USA miaka 10 kumbe wanafanya kazi supermarkets...atuambie alichofanya USA....
USA hata ukisafisha vyoo au kubadilisha diaper wendawazimu..ile kuishi tu USA kuonana na watu tofauti plus technology inayotumika USA bado hutajilinganisha na ridhiwani au kikwete.exposure ni sawa tu na elimu sio mpaka uende darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…