kasingiro2173
Member
- Dec 3, 2019
- 18
- 12
Yes Hana shida ya kuwania dolaJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Yes Hana shida ya kuwania dolaJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471
Una kichàa, ccm kuna anayeweza kujitokeA kugombea naJiwehii yote ni kinyume na demokrasia! watu wa chadema msitumie uhalamu wa vyama vingine kuhalamisha udikteta chadema
tunahitaji siasa za kidemokrasia kuanzia chamani mpaka kwa level ya taifa
Mbowe wachana na uenyekiti kwa kisingizio cha akina cheyo na mrema,,,,hii ni dalili kuwa siku mkipewa ikulu mtaanza kulinganisha na marais wa uganda rwanda na burundi
Kwa hiyo chadema ni mali ya Mbowe?