Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema ya kumchukulia Diamond na nukuu...

"Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one and only one in my life, Hate me or love me I am not that low"

attachment.php

NAWAKILISHA

Hili bifu sijui Diamond anatuchezea akili ili auze single yake hii

Nimpende nani?

[JFMP3]http://www.eastafricantube.com/files/ef657cc4f75c0229.mp3[/JFMP3]

Na katika SHOW huko Uingereza Diamond hivi karibuni alisimamisha show ghafla na kuwaomba mashabiki "Mwamtaka naniiiiii JOKATE ay WEMAAA nichagulieni" watu wakalipukaaaaa JOKATEEEE then akaendelea na song lake hili jipya analomponda WEMA

UPDATE - Diamond afunguka kwenye show huko London eti yeye na WEMA bado wako damu damu... Watch his video.

IMG_4198.JPG
 
Attachments

  • Jokate.jpg
    Jokate.jpg
    33.2 KB · Views: 53,743
Last edited by a moderator:
Haka kangöni ni shule imemsaidia lasivyo angekuwa malaya kama yombi jombi wenzake.
 
huyu dogo amekuja vibaya sana hawa mabinti watamfilisi mapema atabaki hana kitu badala ya kuinvest pesa yake kwenye vitu vya maana yeye anaanza kuhangaika na vidosho. Nitarudi baadae kidogo
 
Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know!

Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.

Kipindi akisoma Makongo alikuwa anatembea kwa miguu Mwenge mpaka Makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale Makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!
 
Just let these people be.
Broda hata wewe unaweza kukamata hii kitu ukija na mkwanja wako wa kubeba maboxi huko Slovenia. We mletee iPad2 unakula mzigo, tena hawa watoto wanashobokea sana mnaokaa mamtoni bila kujali kama mnafagia barabara au mnabeba mabox.... Kama na sisi tunavyoshobokea wale wanaoogesha vibibi. NN ukija safisha nyota kwa kula watoto wa dizaini hiii
 
Ila mi nadhan 2cmlaumu,ha2jui ukwel halic hakuna udhibitisho wwte,lbda diamond anatka kuuza 2!.ni mtazamo jaman
 
Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know!

Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.

Kipindi akisoma Makongo alikuwa anatembea kwa miguu Mwenge mpaka Makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale Makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!
ebana mkuu where is Irene Ngowi, namkumbuka nilikuwa nakutana nae Libraly Udsm. g.. whr is she naw?
 
Wema 'mcharuko'

- Blue, TID, Jumbe, Chalz Baba, Kanumba, Komba, Diamond VS Jokate 'silent killer' - AY, Mwana Fa, Hermy B (marafiki hawa) Mengi, Ruben, Hasheem, madingi wa kwenye mabenki (crdb, cba), Diamond.... hawa wanafanana, kinachowatofautisha ni namna wanavyoweka ishu zao, Wema anaweka kila kitu adharani.. Jokate ishu zake kmya kmya....ila wote vicheche visivyofaa.
 
Huyu Jokate alishawahi kupigwa mande na wazungu watatu wa ubalozi wa Sweden.

Na wewe ushiriki wako hapo uliokuwezesha kutuletea "ushahidi" hapa, ulikuwa upi?
Uliwashikia miguu au?

BTW -Wewe ni mmoja wa wanaume waongo na wambeya wa JF for 2011.

Broda hata wewe unaweza kukamata hii kitu ukija na mkwanja wako wa kubeba maboxi huko Slovenia. We mletee iPad2 unakula mzigo, tena hawa watoto wanashobokea sana mnaokaa mamtoni bila kujali kama mnafagia barabara au mnabeba mabox.... Kama na sisi tunavyoshobokea wale wanaoogesha vibibi. NN ukija safisha nyota kwa kula watoto wa dizaini hiii

Mi nakula totoz za ki Dominican nije nihangaike na hao vinuka mkojo? Hell no.
 
Na wewe ushiriki wako hapo uliokuwezesha kutuletea "ushahidi" hapa, ulikuwa upi?
Uliwashikia miguu au?

BTW -Wewe ni mmoja wa wanaume waongo na wambeya wa JF for
2011.

teh teh teh,jf bana ngoja nikalale na mke wangu
 
Back
Top Bottom