John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

Ameulizwa kwa nini polisi wanasema hawatoshi wanapopewa taarifa ya mkutano.lakin mkutano unapoanza wanakuja kundi la polisi.je wametoka wapi? Hajajibu
 
Ni wakaati wa simu sasa
Joseph wa Iringa, "anasema huyu muheshimiwa tendwa alisema polisi wakutane na vyama vya siasa, anasema hili halitosaidia coz zile kamati za usalama ni za watu wa ccm je unadhani hilo litawezekana, coz polisi wao ni watekelezaji tu"
anadhani vikae vyama vyenyewe vikubaliane, au sheria itengenezwe isiwe ya chama na polisi haitofanyakazi, polisi watekeleze
 
Anasema vikutane vyama kaka vyama na wala si polisi na vyama polisi wawe wategelezaji
 
Tendwa must regret for engineering political circumstance which have laid down the foundation of new democracy of killing people right on the hands of peace keepers. Shame on him and his party!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
namlaumu sana masako kwa kumpambanisha huyu mzee na vichwa vikali hapo studio. mzee hawezi mpambano na anaona bora kipindi kiishe...
kaulizwa hivi
1 kwa nini mikutano bila polisi inakuwa na amani na wanapokuja ndipo wanavuruga kila kitu?
2 kwa nini kama sababu ya kuzuia mikutano ilikuwa ni sensa, kwa nini bububu zbar walikuwa ccm wanazindua kampeni lakini yololo iringa cdm walikatazwa kufanya mkutano?
3. hao polisi wanaokuja kudhibiti mikutano huwa wanatoka wapi ili hali huwa wanakataza mikutano kwa kusema kuw kuna uhaba wa polisi kulinda mikutano?
majibu...hana majibu ya maana zaidi ya kusema tu kuwa polisi hawakutimiza wajibu wao na hawezi kujua kwa nini kamanda wa zbar aliruhusu huo mkiutano maana yeye hakuwepo huko zanzibar..
kazi tunayo watz...
 
Labda nao polisi wamekuwa chama cha siasa.
 
Tendwa hapo alipo ni kada mzuri wa CCM.

Na hili ndo tatizo sugu linalofanya democrasia idumae ktk nchi yetu. Mtu msajili wa vyama at the same time ni kada wa ccm wapi ni wapi. Mtu mkuubwa wa police akistaafu anapewa udc au urc wananchi tuelewe nini hapo.
 
Hali ya hewa imechafuka hakieleweki tendwe anazidiwa
 
Naona mheshimiwa anaongea good points. Kuhusu hiyo dialoge tupo sahihi kabisa ila sidhani kama ni kwa sisi ngozi nyeusi
 
MKUU ROMBO,

Kuna kazi ya kuripoti matukio nimevutiwa na utendaji kazi wako wa kuripoti itabidi tuongee na Invisible, uwe unaripoti matukio humu JF.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu markusi amekasilika anasema hata majadiliano yaweje? Polisi anajua hata wakiuua wanajua hawawezi kufungwa coz wanakuwa wamepokea order toka juu, so njia ya tendwa no way yaweza kufanya kazi... Sio suluhisho mazungumzo yamefanyika sana... Watanzania wanakufa daily
 
"Mafunzo wanayoyapata polisi, mazingira wanayojengewa na
maelekezo wanayopewa (kutoka serikalini) ndiyo yanayowafanya
wayafanye haya" Kwa mujibu wa Marcus...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom