Tunachagua kwenye bold, utamchaguaje adui chaka la kujificha.Najuwa unafahamu nasema nini, mimi si Chadema ila nawapa nasaha zangu tu. Mkipenda zisikizeni mzifanyie kazi, la hamkupenda zipuuzeni kwani waswahili hunena "sikio la kufa halisikii dawa".
LibyaWhen was the last time dictatorship was regarded as a good brand?
Tulipomaliza uchaguzi wa 2005 walituambia maneno hayo hayo walifikiri 2010 ni mbali.Ukabila, undugu, ubinafsi na udikteta ndivyo vimetawala Chadema. Sijui mpaka kufika 2015 kaMA chadema chadema ya mfano wa mrenda. na ukweli huu utasimama wale amabao mawazo yao yako ndani ya chupa kwa kujifanya conservative wa chadema waendelee tu kupayuka, ila comes 2015 mtakubali wenyewe kama mlivyokubali kila kitu mlichokuwa mnajidai kupigania kama kumtambua JK. Mbowe anaiua chadema sisi wenye kuona mbali tunasema na tutaendelea kusema, Zitto ndiye mkweli ndani ya chadema anatumia vizuri usomi wake, akili yake katika chumbua mambo kifupi ' zitto think in a big picture' Bravo Zitto.
Mbowe ni mwiba kwa ccm -mafisdi na wengineo wanajua hilo, alianzisha move ya helicopta wote wakafuuata. Huyu ni kamanda wa vita asiye nunulika kama cash anayo hatishiki -huyu kiongozi bwana
Watu wengine wako tayari kuongozwa hata na jiwe wao wanakubali tu kwa mapenzi yao. So unataka kutuambia Mbowe ni kiongozi shupavu kwako? Hebu tupe sababu za kusema hilo? Kuna watu humu wanasema eti Chadema Chini ya Mbowe kimeweza kupata wabunge wengi. You guys are totally wrong kilichosababisha kupata wabunge ni vitu hivi hapa chini:-
a. Chuki ya watanzania dhidi ya mafisadi iliyopelekea wabunge wengi wanaotuhumiwa kuwa mafisadi kuanguka katika ubunge. Mfano Jimbo la Kawe, na Ubungo. Subiri ikifika 2015 kama CCM wakijirekebisha mtaona. Mfano mzuri ni mmeona Chadema imepoteza Tarime.
b. Umaarufu wa wagombea ubunge. Mfano Zitto, Shibuda, Mbowe, wameshinda si kwasababu ya Chadema bali umaarufu na their personal calibre imewafanya kushinda.
c. Msukumo kutoka kwa mgombea aliyekuwa makini naye ni Dr. Slaa hilo nalo limechangia hata wabunge wengine wasio na pointi kabisa kama akina Sugu kushinda ubunge simple kwasababu ya umaarufu wao na msukumo kutoka kwa Dr Slaa kuweka msukumo wa watu kumchagua.
Sasa kwasababu hizi chache hebu wanazi wa Chadema niambieni mchango wa chadema kama chama uko wapi? Kuna wajumbe wa chadema waliokuwa wakipita kila sehemu kupiga kampeni? Kumekuwa na hata majumbe wa chini waliokuwa wakipita nyumba kwa nyumba kupiga kampeni? Jibu hakuna sasa mnasemaje Chadema imeperform?
Mwe upenzi mwengine bwana unawafanya watu wawe vipofu tu wasione lililokuwa nyuma ya pazia.
Hivi kuna tofauti gani kati ya Shibuda na Masumbuko Lamwai? Tell me please!
du unaliweka kwenye kinyeo chako, kwa maana nyingine Mtanzania linakumega.
Chadema on the brink of collapsing. Nawaonea huruma sana, nilifikiri ndio kitakuwa chama ambacho kidoogo kitaleta ushindani wa dhati.
Yote ni kama ijulikanavyo, Mbowe anaki-manage hicho chama kama anavyo manage night club.
jiulize kama night club haijafa ni lini CDM itakufa?
My friend, mimi sisemi kitu, maana I am CDM hater number one! ninapoona mawazo ya wengine hivi, siyo kuwa nafurahi tu bali ninaona kabisa kumbe sio wote waliolala!
kwa CDM Shibuda is another nightmare, however, ameongeza idadi ya wabunge na ameongeza ruzuku, who cares now? Shibuda hata asingekaribishwa CDM angeshinda kwa chama chochote kile, huo ndio ukweli.
cha uone kesho kuna nini!
Namkewenu tunazidi kukamua nyie endeleeni kusema cdm itakufa.jiulize kama night club haijafa ni lini CDM itakufa?