Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Tangu nianze kumfahamu huyu kijana kipindi cha nyuma ni mmoja kati ya vijana waliokuwa wanajua kujenga hoja.
Akiwa mbunge wa ubunge aliwahi kuitisha maandamano ya kutoka Manzese hadi Ubungo maji ili kudai maji yapatikane.
Hakuishia hapo Mnyika akiwa bungeni alikuwa akijenga hoja nzito kisiasa na kimataifa kuhusu jimbo la Ubungo.
Safari hii akiwa jimbo la Kibamba John Mnyika wa sasa sio yule wa zamani kama tulivyomzoea hadi sasa hatuelewi ni nini kimemsibu.
Leo hii maeneo ya Mbezi, Kimara hadi Kibamba imefanyikaa bomoa bomoa wananchi yeye yupo kimya.
Mnyika ameshidwa hata kutoa kauli au kujenga hoja kuzuia bomoa bomoa eneo la Mbezi, Kimara hadi Kibamba.
Na ikumbukwe ya kwamba haya ndio maeneo Mnyika alipataa kura nyingi za ubunge na mbaya zaidi wananchi wengi wamekuwa wakimlalamikia huyu mbunge na wengine wanajuta kwanini wamemchagua.
Kwa sasa imebakia miaka miwili kuelekea 2020 ushauri wangu Mnyika aanze kujitathmini asipokuwa makini ubunge ataupoteza.