John Mnyika umelitelekeza jimbo la Kibamba?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
Tangu nianze kumfahamu huyu kijana kipindi cha nyuma ni mmoja kati ya vijana waliokuwa wanajua kujenga hoja.

Akiwa mbunge wa ubunge aliwahi kuitisha maandamano ya kutoka Manzese hadi Ubungo maji ili kudai maji yapatikane.

Hakuishia hapo Mnyika akiwa bungeni alikuwa akijenga hoja nzito kisiasa na kimataifa kuhusu jimbo la Ubungo.

Safari hii akiwa jimbo la Kibamba John Mnyika wa sasa sio yule wa zamani kama tulivyomzoea hadi sasa hatuelewi ni nini kimemsibu.

Leo hii maeneo ya Mbezi, Kimara hadi Kibamba imefanyikaa bomoa bomoa wananchi yeye yupo kimya.

Mnyika ameshidwa hata kutoa kauli au kujenga hoja kuzuia bomoa bomoa eneo la Mbezi, Kimara hadi Kibamba.

Na ikumbukwe ya kwamba haya ndio maeneo Mnyika alipataa kura nyingi za ubunge na mbaya zaidi wananchi wengi wamekuwa wakimlalamikia huyu mbunge na wengine wanajuta kwanini wamemchagua.

Kwa sasa imebakia miaka miwili kuelekea 2020 ushauri wangu Mnyika aanze kujitathmini asipokuwa makini ubunge ataupoteza.
 
Mnyika aliwadanganya wahanga wa bomoa bomoa kuwa ana appointment na magufuli,anaenda kukutana nae halafu atarudi hakuonekana tena mpaka kwenye uzinduzi wa kampeni ya udiwani
 
Mnyika aliwadanganya wahanga wa bomoa bomoa kuwa ana appointment na magufuli,anaenda kukutana nae halafu atarudi hakuonekana tena mpaka kwenye uzinduzi wa kampeni ya udiwani
ni mara mia angeitishaa maandamano kabla ya bomoa bomoa kama ilivyokuwa katika maji
 
tangu nianze kumfahamu huyu kijana kipindi cha nyuma ni mmoja kati Ya vijana waliokuwa wanajua kujenga hojaaa.

akiwa mbunge wa ubunge aliwahi kuitisha maandamano ya kutoka manzese hadi ubungo maji ili kudai maji yapatikane.

hakuishia hapo mnyika akiwa bungeni alikuwa akijenga hoja nzito kisiasa na kimataifa kuhusu jimbo la ubungoo.

safari hii akiwa jimbo la kibamba john mnyika wa sasa sio yule wa zamani kama tulivyomzoea hadi sasa hatuelewi ni nini kimemsibu

leo hii maeneo ya mbezi, kimara hadi kibambaa imefanyikaa bomoa bomoa wananchi yeye yupo kimya.

mnyika ameshidwa hata kutoa kauli au kujenga hoja kuzuia bomoa bomoa eneo la mbezi, kimara hadi kibambaaaa.

na ikumbukwe ya kwamba haya ndio maeneo mnyika alipataa kura nyingi za ubunge na mbaya zaidi wananchi wengi wamekuwa wakimlalamikia huyu mbunge na wengine wanajuta kwanini wamemchaguaaaa.

kwa sasa imebakia miaka miwili kuelekea 2020 ushauli wangu mnyika aanze kujitathmini asipokuwa makini ubunge ataupotezaa.
Mnyika wa Ubungo enzi zile si Mnyika wa Kibamba. Mnyika wa 2010 - 2015 si Mnyika huyu wa sasa . Mnyika alianza kupigwa ububu mara tu baada ya chama chake kuingia mikononi mwa watesi wake wale waliotajwa Mwembeyanga. Mnyika aliyekuwa akiitetea Ubungo mara ghafla akapigwa ububu hasa baada ya kwenda Kibamba. Bahati nzuri nipo Kibamba na tuna shida nyingi Ila Mbunge wetu kaenda sabbatical leave.
 
Nipo jimboni kwa Job ndugai Kibamba kwa Mnyika tunapaona kama Marekani
 
Mkuu nimefika Kongwa nikashika mdomo nikadhani nimepotea njia. Nilitamani kupajua kwa Faru..... Lakini sikufanikiwa. Sijui kwanini wamchague mbunge wa hivyo. Hakuna maendeleo kabisa
 
Back
Top Bottom