John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472

Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 14, 2025 ambapo ahirisho la kesi hiyo limekuja baada ya Mawakili wa upande wa waleta maombi kuiomba mahakama kupata muda wa kwenda kuisoma na kutafakari barua iliyopelekwa mahakamani hapo na upande wa wajibu maombi (Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu).
Pia soma ~ Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14, 2025
 
..Chadema wasiweke mapingamizi yanayowapotezea muda.

..wamuache Jaji aendelee muda si mrefu kesi itamshinda.

..mamlaka zinapofungua kesi za uongo na kijinga zinakuwa zimelenga kupoteza muda, hazijalenga uhukumiwe.

.. sasa mshtakiwa ukiwa unaweka mapingamizi unakuwa unazisaidia mamlaka kukupotezea muda, na kukutesa.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
 
EAC ya zamani Tanganyika ndio ilikuwa Shule kuu ya Sheria

Sijajua kwa sasa hali ikoje pale The Hill
 
Jaji hawakutaki - ondoka unang'ang'ania nini ndugu? Kesi si zipi nyingi tu utapewa nyingine - hii ya CDM achana nayo kwani wanasema we una agenda ya siri. kuna ugumu gani kwa ww kukaa pembeni.?
 
..zoezi la kesi kupangiwa Jaji Mpya litachukua muda huku hukumu ya kuizuia Cdm kufanya siasa ikiendelea kukaziwa.

..ninapingana na maombi ya Cdm kumkataa Jaji. Ni afadhali wangeendelea na kesi.
 
Kwani ni nani anapangia kesi Majaji kati ya Msajili na Mtendaji mkuu
 
..zoezi la kesi kupangiwa Jaji Mpya litachukua muda huku hukumu ya kuizuia Cdm kufanya siasa ikiendelea kukaziwa.

..ninapingana na maombi ya Cdm kumkataa Jaji. Ni afadhali wangeendelea na kesi.
CCM wanajichelewesha wenyewe sababu bila CDM kushiriki huu uchaguzi Mkuu hautakuwa na hadhi yoyote sana sana utakuwa sawa na ule wa kwao wa maoni.

Wameshauriwa wafute haya makesi, wakae na CDM waangalie ni nini kinaweza kufanyika kibadikishwe kabla ya uchaguzi- then kipenga kipulizwe Samia hapa Lissu hapa wananchi waamue nani anafaa.

Kuendelea kukomaa kwao hakuwasaidii chochote.
 
Back
Top Bottom