mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Mara "Lissu si huyu hapa," sasa "Mnyika si huyu hapa." Kiu ya Watanzania ni "Where's Dkt Slaa?"
Kafariki.
Mara "Lissu si huyu hapa," sasa "Mnyika si huyu hapa." Kiu ya Watanzania ni "Where's Dkt Slaa?"
Mkuu vipi tena, watu wanasema JJ Mnyika wewe uko na Dr. Slaa tu? Huenda Makongoro Mahanga akachukua nafasi ya Dr. Slaa!Dr. Slaa ameonekana huko?
Kwa wenye kuona mbali tunajua hii ni picha ya zamani acha mbali tunajua nani na nani wako wapi sasa hivi..
Yule mwingine kama hataki basi atoke mapema.....
All is not well it is just a matter of time before starting witnessing the fall of once the most promissing political party in TzKwa wenye kuona mbali tunajua hii ni picha ya zamani acha mbali tunajua nani na nani wako wapi sasa hivi..
John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi,huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee wa View attachment 273026
Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema
Kikao wapi?
Kweli CDM sheeeeda!!! Magufuli kasahaulika kabisa!
John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi,huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee wa View attachment 273026
Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema
Huyo anayekumbatiana si prof. Baregu au macho yangu tu??? mana wanafki wameshasambaza sana sumu humu kuhusu Baregu na kuikacha CDM
Nilichogundua ni kuwa maneno mengi ya shombo humu jf kuelekea kwa dr Silaa yanatoka kwa vijana wa team lowasa ambao wao kwa jina lingine nimeona wanaitwa nyumbu humu..kwa maana wao wanajiendea tu..wao wapo kwa ajili ya kuhakikisha lowasa anaenda ikulu hata kufikia kujiita 4UM..hawa wengi wao wameathiriwa na mob cycology kama ilivyokuwa kwa kikwete mwaka 2005..na hawa kwa sasa ndio wamiliki wa cdm..sie watoto wa dr wacha tukae pembeni tuepushe msongamano..
Chonde chode chadema
Mkuu ungetufanyia interpretation ya hizo data, issue ni ya leo au si ya leo? data hizi zinaonyeshaje?Hiyo picha siyo ya leo
Taarifa za Meta hizi hapa
[TABLE="class: table table-striped, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileCMMType[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]lcms[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileVersion[/TD]
[TD]2.1.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileClass[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Display Device Profile[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ColorSpaceData[/TD]
[TD]RGB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileConnectionSpace[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]XYZ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileDateTime[/TD]
[TD]2012:01:25 03:41:57[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileFileSignature[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]acsp[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]PrimaryPlatform[/TD]
[TD]Apple Computer Inc.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]CMMFlags[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Not Embedded, Independent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]DeviceManufacturer[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]DeviceModel[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]DeviceAttributes[/TD]
[TD]Reflective, Glossy, Positive, Color[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]RenderingIntent[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Perceptual[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ConnectionSpaceIlluminant[/TD]
[TD]0.9642 1 0.82491[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileCreator[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]lcms[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileID[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileDescription[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]c2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileCopyright[/TD]
[TD]FB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]MediaWhitePoint[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.9642 1 0.82491[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]MediaBlackPoint[/TD]
[TD]0.01205 0.0125 0.01031[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]RedMatrixColumn[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.43607 0.22249 0.01392[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]GreenMatrixColumn[/TD]
[TD]0.38515 0.71687 0.09708[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]BlueMatrixColumn[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.14307 0.06061 0.7141[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]RedTRC[/TD]
[TD](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]GreenTRC[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]BlueTRC[/TD]
[TD](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Cc. Lizabon
Tupatane na Slaa kwanza