John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Labda Dr. Kafunga kuombea jaribio hili baya lililoinyemelea chama. Tumuombee
 
Hata kama Dr akirudi..things wont be the same...watanzania wameshaelewa sababu za Dr kugoma!
Dr kokote uliko naomba bakia hivo hivo, wanaojifanya wana mapenzi nawe ndo hao wametumwa ili system 'mabwepande' ifanikiwe. Waache waseme hadi wachoke...ila wewe unajua mapenzi yako kwa Tz yetu si ya kuachia mikononi mwa wasio na sifa kama hawa tulionao sasa. Kaza moyo konde sisi wengine tunatimiza swala tano kwa ajili yako tu na mpango mzima wa ukombozi wa Tz toka kwa wakoloni wapya wenye ngozi na rangi kama yetu ila wana suti kama zao!!!
 
Mungu amesema inatosha kwa masisiem kutawala wakae pembeni waisimamie Serikali mpya
 
Nafikiri ume edit hizo date ili isomeke 2012 lakini ukasahau time, kingine huyo yuko hapo mbele ni Mbowe na Mwalimu, je Mwalimu alikuwepo mwaka 2012??

ndugu yangu dada Anna ameshindwa kujibu hili swali kwenye threa yake..UVCCM hawatumii common sense wao ni google tu
 
Nassari anasema Mnyika alikuwa anaumwa malaria wewe unasema alikuwa na matatizo ya kifamilia???


Source:facebook ya nassari
 
Man may have discovered fire, but women discovered how to play with it big up Josephine bt kaa ukijua unampoteza mzee wa watu na watanzania tulimweshimu sana mzee wetu bt wewe uko busy kushusha heshima aliyoitafuta kwa miaka 5 toka 2010 wewe unaishusha kwa miezi miwili iliyobaki kabla ya uchaguzi
 
niliwaambia tulieni kila kitu kitaenda sawa Mnyika karudi alikuwa anaumwa na pia Dr atarudi pia yuko kikazi zaidi
 
heri ukamatwe kichwa cha juu kuliko cha chini.
 
11705083_950504261674314_3464824027126095861_n.jpg
 
Back
Top Bottom