John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Chonde chonde chadema mshikamane msiwape nafasi ccm kuvuruga mipango yenu kumbukeni in mipango ya mungu mwaka huu kuidondosha ccm umoja wenu Na mshikamano wenu ndio utawapa ushindi viva mnyika viva slaa

Ccm hilo wanalijua sana tu
 
Lowasa hana nafasi kwenye hicho kikao? au yeye amepewa cheo cha kuwa rais akiwa kama nani ndani ya chama?
You first bring back our Dk.
 
John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi,huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee wa View attachment 273026

Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema

Mnyika karibu wiki nzima alikuwa shinyanga kikazi.
 
Hiyo picha siyo ya leo
Taarifa za Meta hizi hapa

[TABLE="class: table table-striped, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileCMMType[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]lcms[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileVersion[/TD]
[TD]2.1.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileClass[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Display Device Profile[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ColorSpaceData[/TD]
[TD]RGB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileConnectionSpace[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]XYZ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileDateTime[/TD]
[TD]2012:01:25 03:41:57[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileFileSignature[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]acsp[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]PrimaryPlatform[/TD]
[TD]Apple Computer Inc.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]CMMFlags[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Not Embedded, Independent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]DeviceManufacturer[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]DeviceModel[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]DeviceAttributes[/TD]
[TD]Reflective, Glossy, Positive, Color[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]RenderingIntent[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]Perceptual[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ConnectionSpaceIlluminant[/TD]
[TD]0.9642 1 0.82491[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileCreator[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]lcms[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileID[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]ProfileDescription[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]c2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]ProfileCopyright[/TD]
[TD]FB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]MediaWhitePoint[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.9642 1 0.82491[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]MediaBlackPoint[/TD]
[TD]0.01205 0.0125 0.01031[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]RedMatrixColumn[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.43607 0.22249 0.01392[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]GreenMatrixColumn[/TD]
[TD]0.38515 0.71687 0.09708[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]BlueMatrixColumn[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"]0.14307 0.06061 0.7141[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]RedTRC[/TD]
[TD](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn, bgcolor: #F9F9F9"]GreenTRC[/TD]
[TD="bgcolor: #F9F9F9"](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: firstColumn"]BlueTRC[/TD]
[TD](Binary data 64 bytes)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nafikiri ume edit hizo date ili isomeke 2012 lakini ukasahau time, kingine huyo yuko hapo mbele ni Mbowe na Mwalimu, je Mwalimu alikuwepo mwaka 2012??
 
Picha inaonesha ni usiku hiki kikao kinafanyikia USA??
 
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).

Taarifa kutoka ndani ya kikao cha CC kinachofanyika katika hoteli ya Bahari Beach zinasema, Mnyika amehudhuria mkutano huo na kueleza kuwa kutoonekana kwake, kumetokana na matatizo ya familia.

Mnyika ambaye ni naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekuwa haonekani tangu Edward Lowassa alipojiunga na chama chake, Jumapili iliyopita.

Mbali na Mnyika, katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, hajaonekana katika ofisi za chama hicho, tangu Lowassa ajiunge na Chadema; jambo ambalo limezua taharuki kwamba huenda amejiuzulu wazifa wake.

Dk. Slaa ambaye alishiriki vikao vyote muhimu na majadiliano vilivyomkaribisha Lowassa ndani ya Chadema, anadaiwa kuzuiwa na mkewe, Josephine Mushumbuzi, kushughulika na chama hicho.

Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amethibitisha Mnyika kuhudhuria mkutano huo.

Amesema, “…Mnyika yupo ndani ya ukumbi wa mkutano. Anashiriki kikao cha kamati kuu. Waliokuwa wanadhani chama chetu kimepata mpasuko kutokana na ujio wa Lowassa, walikuwa wanajidanganya.”

Lissu amesema, ndani ya Chadema wako wamoja, yote yaliyotokea yalikuwa mapambano yanayotokana na ukomavu wa kidemokrasia uliyopo.
 
Huyu mama alijua anakuwa first lady sasa ghafla anaona hali imebadilika basi kaamua kususa, nadhani Kamanda Slaa pamoja na kumpenda sana mkewe lkn vitu vibgine aangalie maslahi ya chama, ss kwa hali hii inngekuwaje kama kweli angekuwa first lady, tungejua amemshauri nini Rais kwa staili hii.
 
Nilichogundua ni kuwa maneno mengi ya shombo humu jf kuelekea kwa dr Silaa yanatoka kwa vijana wa team lowasa ambao wao kwa jina lingine nimeona wanaitwa nyumbu humu..kwa maana wao wanajiendea tu..wao wapo kwa ajili ya kuhakikisha lowasa anaenda ikulu hata kufikia kujiita 4UM..hawa wengi wao wameathiriwa na mob cycology kama ilivyokuwa kwa kikwete mwaka 2005..na hawa kwa sasa ndio wamiliki wa cdm..sie watoto wa dr wacha tukae pembeni tuepushe msongamano..

Hakuna lolote unaloweza kutuaminisha kwa huo uongo wako,wanaofanya hizo propaganda ni ccm
 
Ulidhani Watanzania bado wale wa enzi zile, unaleta picha ya miaka unadanganya!! ' mods pigeni ban watu kama hawa cc Invisible Paw

Huyo mwenzako tumemuuliza hiyo 2012 Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa chadema? Kabla ujaomba poo kwa Paw shirikisha ubongo kwanza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom