Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Sipati picha Dr. Slaa akiwasha simu yake hizo mvua za msg zilizohewani kumtafuta zitavunja kio cha simu!
Hata kama Dr akirudi..things wont be the same...watanzania wameshaelewa sababu za Dr kugoma!
Slaa anajiona mungu ntu ndani ya CDM! Nadhani wangeachana naye tu

Magufuli? Ndio Nani?
Chonde chonde chadema mshikamane msiwape nafasi ccm kuvuruga mipango yenu kumbukeni in mipango ya mungu mwaka huu kuidondosha ccm umoja wenu Na mshikamano wenu ndio utawapa ushindi viva mnyika viva slaa
Hata kama Dr akirudi..things wont be the same...watanzania wameshaelewa sababu za Dr kugoma!
pamoja makanda.Kila mmoja aliyena ufahamu ataiombea mema chadema na kuwapa moyo wakupambana na adui
nilishasema bila Dr hatuna CHADEMA
Picha ya zamani sana hii mnyilka ameapa kuwa hawezi rejea ukahawani