Huyo anayekumbatiana si prof. Baregu au macho yangu tu??? mana wanafki wameshasambaza sana sumu humu kuhusu Baregu na kuikacha CDM
Chonde chonde chadema mshikamane msiwape nafasi ccm kuvuruga mipango yenu kumbukeni in mipango ya mungu mwaka huu kuidondosha ccm umoja wenu Na mshikamano wenu ndio utawapa ushindi viva mnyika viva slaa
Tupatane na Slaa kwanza
hilo ni jambo muhimu sana .
Tupatane na Slaa kwanza
Kweli CDM sheeeeda!!! Magufuli kasahaulika kabisa!
Hata kama Dr akirudi..things wont be the same...watanzania wameshaelewa sababu za Dr kugoma!
Kweli CDM sheeeeda!!! Magufuli kasahaulika kabisa!
hilo ni jambo muhimu sana .