John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Team Lowasa, hamjawai kuumia kuhusu Slaa na Chadema.

Kwenu Chadema ni daraja la kutafutia madaraka,Mna uchu wa madaraka kuliko kitu kingine nyie mnawaza matumbo yenu tu.

Ama kweli Chadema imetekwa.
Chadema tunachotaka ni mabadiliko hatutaki porojo mara dr slaa wala mnyika tunachotaka ni mtu wa kutuongezea speed ambaye ni lowassa lowassa kwa afya njema ya mabadiliko ya kweli!!
 
Yohana Alcohol Mapadlock kasahaulika kabisa masikini! Haya ndio madhara ya kuchepukia nafasi za watu. Professor kasema hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa shina wa ccm, leo anachupia kuwa Mwenyekiti wa ccm taifa. Hata mimi nisongekubali,if I were lowassa and the alike.
 
DAH....Alcohol Mapadlock......what a name.....
 
Kama ni kweli John Mnyika poa sana big up. Nyerere ashirikiana na wakoloni wakati wa kudai uhuru, Mandela alikuwa na makaburu na kuwasemehe sembuse Lowasa na Chadema. Mwenye nguvu husamehe ila dhaifu hufuga kinyong. Mbona Bungeni mufanya kazi nao tena wengine wakiwa tusi sembuse aliyejiunga nanyi. Pamoja makamanda.
 
Team Lowasa, hamjawai kuumia kuhusu Slaa na Chadema.

Kwenu Chadema ni daraja la kutafutia madaraka,Mna uchu wa madaraka kuliko kitu kingine nyie mnawaza matumbo yenu tu.

Ama kweli Chadema imetekwa.

We Slaa amekuumiza na nini acha uongo
 
Lumumba mjiandae tu kuwa wapinzani hakuna jinsi huu ni mpango Wa Mungu chadema kushika dola
 
Slaa amefanya TIMING mbovu anasukumwa na mkewe kisa hasira ya kukosa U-FIRST LADY?
 
Hata kama Dr akirudi..things wont be the same...watanzania wameshaelewa sababu za Dr kugoma!

cha Msingi ni ccm kuondoka madarakani na kufa kwanza halafu mengine yatafuata.hata shetani anakaribishwa kuipigia kura UKAWA
 
Back
Top Bottom