Mzeeba
Senior Member
- Sep 25, 2007
- 143
- 3
Tayari tuna Thread maalumu kwa ajili ya Barack Obama, lakini naona ni vyema na haki kuwa na thread tofauti kwa ajili ya John McCain hasa kwa wale ambao tunaamini McCain atafanya kazi nzuri zaidi ukiweka mbali ushabiki. Haswa haswa kwenye Moral issues ambazo ndio nguzo za muhimu sana katika kujenga taifa imara na dunia yenye mwelekeo. "I BELIEVE I AM NOT THE ONLY BENA IN IRINGA"