John McCain Special Thread

Can Barack Obama be trusted on Moral Issues?

  • I do not know

    Votes: 0 0.0%
  • I do not care about moral issues

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9
  • Poll closed .

Mzeeba

Senior Member
Sep 25, 2007
143
3
Tayari tuna Thread maalumu kwa ajili ya Barack Obama, lakini naona ni vyema na haki kuwa na thread tofauti kwa ajili ya John McCain hasa kwa wale ambao tunaamini McCain atafanya kazi nzuri zaidi ukiweka mbali ushabiki. Haswa haswa kwenye Moral issues ambazo ndio nguzo za muhimu sana katika kujenga taifa imara na dunia yenye mwelekeo. "I BELIEVE I AM NOT THE ONLY BENA IN IRINGA"
 
Human Dignity and the Sanctity of Life

Overturning Roe v. Wade

John McCain believes Roe v. Wade is a flawed decision that must be overturned, and as president he will nominate judges who understand that courts should not be in the business of legislating from the bench.

Constitutional balance would be restored by the reversal of Roe v. Wade, returning the abortion question to the individual states. The difficult issue of abortion should not be decided by judicial fiat.

However, the reversal of Roe v. Wade represents only one step in the long path toward ending abortion. Once the question is returned to the states, the fight for life will be one of courage and compassion - the courage of a pregnant mother to bring her child into the world and the compassion of civil society to meet her needs and those of her newborn baby. The pro-life movement has done tremendous work in building and reinforcing the infrastructure of civil society by strengthening faith-based, community, and neighborhood organizations that provide critical services to pregnant mothers in need. This work must continue and government must find new ways to empower and strengthen these armies of compassion. These important groups can help build the consensus necessary to end abortion at the state level. As John McCain has publicly noted, "At its core, abortion is a human tragedy. To effect meaningful change, we must engage the debate at a human level."


Nafurahi na kuona fahari watanzania hili tuliliona mapema, na kulitambua mapema na kuweka sheria inayolinda maisha ya vichanga hivi. It is time dunia yote ilione hili.
 
kwa kupinga hadharani aboshen namsapoti maken...! bila shaka atakuwa upande wa Bush wa kupinga pia MASHOGA ....! vitu ambavyo ni ukosefu wa maadili hata mimi navipinga...! ( ila si-sapoti vita)
 
kwa kupinga hadharani aboshen namsapoti maken...! bila shaka atakuwa upande wa Bush wa kupinga pia MASHOGA ....! vitu ambavyo ni ukosefu wa maadili hata mimi navipinga...! ( ila si-sapoti vita)

Si support vita pia. Lakini nadhani moral issues zinachukua sehemu kubwa zaidi. Leo nimemsikia strategist wa Obama akisema hata wao watawasikiliza makamanda walioko vitani wanahitaji nini. kwa hiyo hata kwa mpango wake bado hauhakikishi vita kuisha haraka. kama anavyodai miezi 14 baada ya kupewa uraisi
 
And let it be in the records we support you in this one too.

"...I think that we've proven that both parents are important in the success of a family so, no, I don't believe in gay adoption,.." McCain

Can anything like this come from the opposition? I believ not...

Full story visit: [media]http://news.yahoo.com/s/ap/20080715/ap_on_el_pr/mccain_gay_adoptions[/media]
 
Huyu jamaa hajui hata kutumia computer, amezaliwa, kukulia na kuzeekea Marekani, lakini hajui hata kutuma email. (Watch cnn news)

Kazi yake sana sana ni kutumia mtutu wa bunduki. Hana vision ya Economy ya nchi.
 
Mimi naweza kumsupport Mc Cain kwenye suala la Gays na ma lesbians. Hawa jamaa wanataka kuharibu kabisa mfumo wa maisha asilia na uhalisia wake we want a person who can preserve that even through the barrel of gun.
 
Je na Obama atajikwa na jiwe lilomwangusha Kerry 2004?

Kwa hali ilivyo sasa katika uchaguzi wa uraisi marekani, watu wenye msimamo mkali katika maswala ya maadili wanashikilia turufu. Hii inatokana na kura za maoni kuonyesha hata baada ya Biden kuchaguliwa kama "running mate" bado mchuano ni mkali. Tunakumbuka John Kerry alizikosa kura za hawa conservatives na kushindwa na Bush. Kwa kasi sasa McCain na yeye ameanza kushikia hili bango baada ya kuona katika uchumi jambo kubwa katika uchaguzi huu linamshinda. Ukiweka mbali mambo mengine (ya muhimu pia) msimamo wa McCain katika moral and thus legal issues utamsaidia sana ifikapo November 2


[media]http://news.yahoo.com/s/usnews/20080825/ts_usnews/mccainattacksobamasstanceonabortion[/media]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom