John Mashaka adanganya umma kupitia ITV

John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

mbona hapa sioni kosa, au nakosea kusoma? wawekezaji wamejaa lakini uwekezaji wao unakuwa tata...nadhani huyu mashaka na fisadi wana personal beef.

John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

huyu sijui shakespear sijui nani, si akagombee ubunge akutane na wakina Tundu Lissu watetee haki za wanyonge badala ya kunyanyasa walalahoi na viingereza vigumu. uwezo wake kwa hakika havina mjadala mbona asiende?

John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

Shame on you, that you even had the audacity to put your scarce thoughts in form of writing. Grow up!

J
ohn Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani
Nenda pale urafiki kiwanda cha nguo uliza wale wachhina shule zao utakufa kabla ya majibu.Nenda Ubungo EPZ uliza wawekezaji waliomo huko ndani utakufa kabla ya majibu..Wote ni wajanja wajanja tu hata mitaji wamepata hapa Tanzania kwenye benki zetu kwa sababu ya kutoa kitu KIDOGO.Nenda benki wewe TZ omba kukopa utapata sijui mwaka gani..So kazi ipo kweli kweli,

Shame on you, that you even had the audacity to put your scarce thoughts in form of writing. Grow up!

I have no shame on me. Hawa wakina mashaka wakiachwa hivi hivi na umaarufu wao, kesho wanaanza kuuza nchi kwa wazungu. anapinga sana wawekezaji kutoka bara la Asia, sijasikia akipigia kelele wakina TOM smith wajomba zake toka Wall-street. Wakina Paul wa Symbion na Joe wilson CIA aliyekubuhu. sasa shame on me iko wapi?

wawekezaji wanaopondwa na mashaka, ni watu ambao wanaaminika na uhamiaji, hata huko serengeti ni watu waliokuwa na vibali kuwepo nchini. Sasa yeye kwenye ITV na kusema wazungu waangaliwe kabla ya kupewa vibali vya uwekezaji unaamnisha nini. Wewe ndio shame on you

Huyu Mashaka kweli ni mashaka, sasa uwakute wazungu (most probably back packers) halafu wakwambie tuna hela! kwanza inahusu nini uwaulize? si wanakuona mwizi tu.

John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:

Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

Mkuu ID yako inaendana sambamba na mada yako

Mtoa mada alitaka kuua alichokisema Mashaka, na huyu mleta mada ndio tunatakiwa tuwe naye makini maana yuko kwenye kundi la kuuza nchi kwa wawekezaji feki. Nani asiyejua kwamba asilimia kubwa ya wageni waliokuja hapa ni hewa na wanakaa kwa mikono ya mafisadi?

Watu kama ninyi ndio mnaifanya JF ikose mwelekeo sasa. Kukemea wawekezaji uchwara ni kosa? Mnataka hata wauza ukwaju ama mkaa mtaani wawe wachina ama wazungu? Mwananchi wa kawaida atafanya nini? John Mashaka ameonyesha uzalendo na sio kibaraka kama ulivyosema hapa

Mtoa mada alitaka kuua alichokisema Mashaka, na huyu mleta mada ndio tunatakiwa tuwe naye makini maana yuko kwenye kundi la kuuza nchi kwa wawekezaji feki. Nani asiyejua kwamba asilimia kubwa ya wageni waliokuja hapa ni hewa na wanakaa kwa mikono ya mafisadi?

Nyie ndo mnaouza nchi, kwani mashaka ni mtanzania? yule ni Mnyarwanda. Hawezi kuitetea tanzania, anajaribu kutengeneza maslahi ya wenzio. nyie kaeni mtakuja kujuta kutetea watu hovyo pasipo sababu maalum. Mashaka mwenyewe hajui kiswahili sasa mnachokitetea ni nini?

mkee hacha chuki binafsi. haumjui mashaka, ni kijana makini mno, mwenye upeo wa hali ya juu. Kijana hakurupuki kama unavyofanya wewe.

Hajandanganya umma. Ww ndio umedanganya umma. Alchosema is true, hawa wazungu wamezid.

John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

Changamoto kwa Mashaka:

Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

hivi we FISADI ORIGINAL ni mzima kweli?? Au na ww ni mzungu, john mashaka amesema ukweli mtupu.! POLE SANA KWA KUWA MTUMWA KIFIKRA.! Si ungesema tena bila mzungu usingeweka ka thread kako! Umenichefua mno.!

Nyie ndo mnaouza nchi, kwani mashaka ni mtanzania? yule ni Mnyarwanda. Hawezi kuitetea tanzania, anajaribu kutengeneza maslahi ya wenzio. nyie kaeni mtakuja kujuta kutetea watu hovyo pasipo sababu maalum. Mashaka mwenyewe hajui kiswahili sasa mnachokitetea ni nini?

Mwalimu nyerere alinunua nchi ngapi alizozisaidia kupata uhuru? Mbona watu mnaropoka tuu jamani,

Mtoa mada alitaka kuua alichokisema Mashaka, na huyu mleta mada ndio tunatakiwa tuwe naye makini maana yuko kwenye kundi la kuuza nchi kwa wawekezaji feki. Nani asiyejua kwamba asilimia kubwa ya wageni waliokuja hapa ni hewa na wanakaa kwa mikono ya mafisadi?

ukiwa mzungu ukifika bongo hata ikulu unaingia siku hiyohiyo na kulala unalala hapo hapo kama htna pa kulala

Hapo kwenye red...ulikua unamaanisha nini? Which guy are you referring to? Is it John Mashaka or the guy who started the thread? If it's JM then unalo mkuu.....kama na ww bado humjui John Mashaka aka Yohana...basi ukae kimya! Ushauri wa bure kwako ni kwamba at least search biography yake kwenye internet waweza pata mawili matatu mkuu!

I am sorry that I also do not know the so called John Mashaka. It is not a crime not knowing somebody. If you happen to know him then let us know otherwise, just shut up! If he was so important in our lives then we would have known him by now. I do not think I can waste my time searching a common name like that.

the guys is right! tanzania hakuna wawekezaji, kuna walaji wa kuja kwa kushirikiana na viongozi wazawa! kuwapa vibali wageni uchwara ni kutaka kutuaminisha kuwa wana uwezo kumbe sio!!!!

Back
Top Bottom