Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter
- #101
kama kawaida yenu, watuwa CHADEMA hamnaga pointi, kulaumu tu...... nani kama jk?
ndo tatizo la wanamamba kila kitu chadema

ndo tatizo lenu tanzania mtu akisema kweli anadanganya kwa hiyo wewe unadhani amedanganya nini zinduka wewe
Unamchukia bure tu. John Mashaka hana ugomvi na investors, bali ana beef na "bogus investors". Siku ya siku utakujaona Chicanos wamekuja kama investors huku wakiwa ni madreva na wakipiga debe kwenye daladala hapo ndio utatia akili. Wananchi wanatakiwa wawe protectedNamchukia kweli. Kazi yake kubwa ni kuponda wachina na wawekezaji. Huyu ndiye anayetangaza kale ka ugonjwa wa kuwachukia wawekezaji wanaotusaidia. Wakipewa ardhi kidogo, hilooooo na kelele zake... khaaaa anakera kweli. abakie huko huko marekani
Namchukia kweli. Kazi yake kubwa ni kuponda wachina na wawekezaji. Huyu ndiye anayetangaza kale ka ugonjwa wa kuwachukia wawekezaji wanaotusaidia. Wakipewa ardhi kidogo, hilooooo na kelele zake... khaaaa anakera kweli. abakie huko huko marekani
Unamchukia bure tu. John Mashaka hana ugomvi na investors, bali ana beef na "bogus investors". Siku ya siku utakujaona Chicanos wamekuja kama investors huku wakiwa ni madreva na wakipiga debe kwenye daladala hapo ndio utatia akili. Wananchi wanatakiwa wawe protected
John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.
Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani
uwezo/upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.pole sana,unasafari ndefu sana mpaka uanze kumwelewa mashaka!