Namfahamu John Mashaka personally na niliwahi kuonana naye kwa mara ya kwanza in NYC in 2007 alikuja kazini nilipokuwa nikifanyia kazi kuonana na CFO wetu. Nilikuwa namsikia tu na nilibahatika kuteta naye kama nusu saa. Tuliendelea kuonana mara kwa mara toka hapo. The guy is well educated na anao more than uwezo wa kuandika makala nyingi.
Nimeshamwona live kwenye local TV akitoa analysis zake kuhusu global emerging markets/global investment banking na namkuballi. Hata wanyamwei huku wanamkubali. Shule ya investiment banking/global Finance imetulia na the guy has exceptional career in global investment banking. Wanaomjua John Mashaka personally watakwambia. Kama alivyosema Sherrif, jaribu kuzisoma articles zake kwa undani na utagundua JM ni mzalendo mwenye kuitakia mema Tanzania. Kikwete angekuwa smart angeweza kumpa JM awe either governor wa Central Bank ama Minister for finance. JM is by far more talented and competent than Nkullo ama Ndullu.
Nimemshuhudia kwa kumsikia kwa masikio yangu mwenyewe mbali ya kusoma articles zake.
Endelea kujifariji eti hana uwezo wa kuandika anachoandika na anasaidiwa na Americans.