John Mashaka adanganya umma kupitia ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Mashaka adanganya umma kupitia ITV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, May 31, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.

  Changamoto kwa Mashaka:
  Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani
   
 2. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  It is true wawekezaji wengi wanaokuja Tanzania ni feki, ni wizi na matapeli waambie TIC wachapishe list ya wawekezaji na mitaji waliyokuja wekeza utakuta geneuine investers hazidi hata aslimia tatu (3%), hiyo 97% ni wezi na matapeli tu wanaoshirikina na viongozi wetu kutuibia ndia maana hakuna efect za kiuchumi kwa wawekezaji toka nje wawepo wasiwepo hamna effect yeyete sana sana wanaongeza migogoro na fujo kwa ardhi ya wazalendo.
   
 3. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo uongo wake nini? au mkuu unamuonea wivu ukitaka kuhakiki maneno yake nenda Voda, na makampuni mengine ya simu omba vielelezo vya elimu kwa maxpert utajua kasema ukweli.
   
 4. L

  Losemo Senior Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili la wawekezaji ni janga la taifa. Amini usiamini kuna wawekekezaji ambao unashindwa kuelewa wanawekeza nini. Fikiria mwekezaji anayefungua genge Kariakoo kuuza chips. Mwekezaji gani anapewa kibali cha kufungua mgahawa wenye thamani chini ya shs 200,000. Hii ni aibu kabisa sijui wenye mamlaka nchi hii wanatupeleka wapi
   
 5. h

  hans79 JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  mwekezaj n nan?jaribun kuwa tafsir sawia sio kunena tu.hawa wachuuz au wahamia haramu ndo wapo kkoo hata vibal vya uwekezaj hawana.
   
 6. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,227
  Likes Received: 2,160
  Trophy Points: 280
  By then who is the Guy,otherwise this is CRAP
   
 7. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red...ulikua unamaanisha nini? Which guy are you referring to? Is it John Mashaka or the guy who started the thread? If it's JM then unalo mkuu.....kama na ww bado humjui John Mashaka aka Yohana...basi ukae kimya! Ushauri wa bure kwako ni kwamba at least search biography yake kwenye internet waweza pata mawili matatu mkuu!
   
 8. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,009
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Mod....tafadhali.....twakuomba usiruhusu kila post kuingia humu kwenye jukwaa la jamii.... ona maneno ya huyu jamaa....
  Yeye anaona kila mwenye ngozi nyeupe ni muwekezaji.....(inasikitisha sana)....hujui kuna wengine wengi tu ni masikini sana tu....na wengine ni mateli.....na wengine ni watu wasio na elimu kabisa...n.k...
  lakini wewe kwa uwezo wako wa kuelewa unawaona ni wawekezaji......%"!^&%$£........ndiyo nyie kila mkimuona mzungu mnafikiri ni Padre......sababu tu mzungu wa kwanza kumuona aliyekuja kijijini kwenu alikuwa padre......

  Mashaka aliongea kitu cha msingi sana....kwamba tunapofanya biashara au kufanya nao kazi yoyote lazima tuwe na uangalifu mkubwa sana....tusiwe kama wajinga waliotuingiza kwenye mikataba ambayo wazungu wanachota mchanga wa dhahabu na kwenda nao tukitegemea ni waaminifu na watatuambia kile walicho kikuta kwenye mchanga.... pambafu%"(*&^%"£$"£$"$$£"!"

  Kwa hiyo wewe unaona kununua substandard goods na kupanda ndege is great deal......
   
 9. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145

  Huyu John Mashaka yuko 100% correct. Kuna wazungu huku mjini unashangaa walipataje viza. Personally nilisham-report mmoja baada ya kuona movement zake za ajabu ajabu! Kwa bahati nzuri kakimbia yuko kwao sasa.
   
 11. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe ndo unataka kutudaganya hapa. Yawezekana unamasilahi fulani na hao wawekezaji feki wa kizungu.
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wewe John Mashaka, ni kijana makini mno, tena mzalendo sana. Yule hawezi kuingia kwenye TV bila kuwa na sababu za msingi. Wewe ndiye unayepindisha mada yake bwana. Wabongo kwa kuchonga, hacheni zenu. mimi mashaka john namwamini sana kwenye mambo ya uchumi.
   
 13. G

  Galula Jr Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  think big!
   
 14. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, wawekezaji wengi bongo ni wawekezaji uchwara tu. Ni hatari sana kwa taifa letu.
   
 15. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mpumbavu kweli wewe FISADI ORIGINAL! Full upupu tu hapa! Pua kama kona ya sambusa...
   
 16. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  John Mashaka ni fisadi anayetayarishwa na system. Wawekezaji wamesaidia sana hili taifa, yeye ni kibaralaka wa wamarekani kazi ni kuwaponda wachina.
   
 17. O

  Omr JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pumbavu tu huyu mashaka, tatizo ni wivu unamsumbua.
   
 18. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0

  mashaka simfagirii lakini najua ni kichwa. he is brilliant for sure
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  is this stupid thread????? who is chanka John? :A S 103::A S 103:
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu John Mashaka ni nan? who is he i mean?
   
Loading...