John Heche moments special thead

John Heche moments special thead

Maisha bwana; Kuna wakati Heche na Wenje walikuwa wanapimika kwa uzani sawa katika uwanda wa siasa za upinzani, Leo hii Heche ni almost second popular opposition leader wakati Wenje hajulikani amefia shimo gani.

Karata!

Km ambavyo Ndejembi hakuwa anaweza kuwa no 2, lakini sasa ndiye.
 
Huwa nikiingia YouTube kitu Cha kwanza kutafuta ni wapi heche ameongea kwa siku hiyo huwa napenda sana kufuatilia hotuba zake jamaa ni a good public speaker
 
Mh. hechejohn anaandika

"Nchi imegeuzwa kama ghetto kila mtu anajifanyia anavyotaka!!!!
Huyu amejigeuza polisi, yeye huyo huyo mahakama!!! Anaita watu,
anawahoji na kuwapa msamaha!!!!

Kama hao watu wana makosa kweli huyu Katambi ana mamlaka kwa mujibu
wa sheria ipi kufuta makosa?

Watu wanatekwa kila siku hata jana Rose ametekwa na Katambi hajawahi
kutuambia watu waliotekwa wakina Mdude wako wapi?

Huyu Katambi hajawahi kuwambia Watanzania alipo Polepole, leo
anapambana na wasanii!!!"
Huu ni ujingaa"
1788595433660.jpg
 
Hakika tungekuwa na makamu legelege kipindi hiki sijui CDM ingekuwa kwenye hali gani
 
Tayari Mhe. John Heche amepanda kizimbani kwa ajili ya kutoa ushahidi wake.
1789003769919.jpg
 
Back
Top Bottom