Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.
Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
Sasa Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria tena bali kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepoleExactly imhotep
Hii siyo nchi ya Jiwe na vyombo vyake vya dola, anavyoweza kuviagiza vifanye atakavyo, hata kama ataagiza uharamia wafanyiwe wapinzani!
Polisiccm chombo binafsi cha CCM kinaenda kuwaonea raia wengine ICC haipo mbali na Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzaniAcha upumbavu wewe. Watu wanaonewa makusudi unaleta masihara tena? IPO siku usiydhania yatakufika na wewe
CCM wanatii Sheria za wapi? Kutwa kuwapiga wapinzani hata polepole aliwaita wapinzani misukule NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM hawajamchukulia hatuaUsipotii sheria kinachofuata ni shuruti.... Ni maoni yangu kwa hiyo Usinifokee.....
CCM wanatii Sheria za wapi? Kutwa kuwapiga wapinzani hata polepole aliwaita wapinzani misukule NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM hawajamchukulia hatua
hili jambo baya sana, hawakuchomeka dushelele zao kweli? hebu yapishe mbali haya majanga, nanyie muelewe polisi nao ni watu muda mwingine wanagafirikaHeche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Kama JF ni padogo CCM msingekuwa mnashinda humu kuchungulia kila Dakika, JF ni mahakama binafsi ni sehemu sahihi ya kuwashitaki Polisiccm kwa jamii ndipo hatua zingine zinafuata, acha kuidharau JFHayo ya Pole x2 Pelekeni malalamiko sehemu husika, hawawezi kufanyia kazi malalamiko yaliyoletwa JF, hapa tunajadili tukio la Serengeti
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria pindi wakiwaona chadema mbele zao, hufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepolehili jambo baya sana, hawakuchomeka dushelele zao kweli? hebu yapishe mbali haya majanga, nanyie muelewe polisi nao ni watu muda mwingine wanagafirika
CHADEMA endeleeni kushikiwa akili zenu na Robert Amsterdam anayewadanganya mlete vurugu, by the way mpelekeeni picha ili awe na ushahidi wa kupeleka ICC ...Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria sasa bali kwa mujibu wa IGP anayefanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole.
Siku machafuko yakitokea na familia yako mkawa wahanga,utakumbuka huu upuuzi unaoushabikia sasa!Wapigwe tu hawa wanajifanya vichaa kumbe kuna vichaa zaidi yao. Watolewe manundu tu.
Watashindwa tu. Kila mahali ccm wako hoi.Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Maccm hayanaga akili hata kidogo halafu haya ndio yanaongoza nchi eti.Ina maana CCM hata kukabiliana na binti kama Catherine kwenye uchaguzi mnahitaji msaada wa Polisi? Hii ni aibu, hii ni fedheha!!!