Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

Exactly imhotep

Hii siyo nchi ya Jiwe na vyombo vyake vya dola, anavyoweza kuviagiza vifanye atakavyo, hata kama ataagiza uharamia wafanyiwe wapinzani!
Sasa Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria tena bali kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole
 
Acha upumbavu wewe. Watu wanaonewa makusudi unaleta masihara tena? IPO siku usiydhania yatakufika na wewe
Polisiccm chombo binafsi cha CCM kinaenda kuwaonea raia wengine ICC haipo mbali na Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzani
 
Usipotii sheria kinachofuata ni shuruti.... Ni maoni yangu kwa hiyo Usinifokee.....
 
Mahakama ya ICC The Hague tayari wanaandaa majarada ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo vya kishamba kishetani kuwapiga kuwaonea wapinzani, wasijione wajanja wakaona kuipendelea CCM Duniani itawaacha hivi hivi
 
Usipotii sheria kinachofuata ni shuruti.... Ni maoni yangu kwa hiyo Usinifokee.....
CCM wanatii Sheria za wapi? Kutwa kuwapiga wapinzani hata polepole aliwaita wapinzani misukule NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM hawajamchukulia hatua
 
Hayo ya Pole x2 Pelekeni malalamiko sehemu husika, hawawezi kufanyia kazi malalamiko yaliyoletwa JF, hapa tunajadili tukio la Serengeti
CCM wanatii Sheria za wapi? Kutwa kuwapiga wapinzani hata polepole aliwaita wapinzani misukule NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM hawajamchukulia hatua
 
Upendeleo wa wazi kwa CCM unaofanywa na Polisiccm unaenda kufika kikomo mda si mrefu kwani huenda kabla ya uchaguzi kuna OCD au RPC mmoja atafikishwa ICC mda si mrefu ili kuwapa taarifa CCM kuwa kuna balaa linawakumba nusu ya Polisiccm wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwaonea wapinzani watafikishwa wote huko
 
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:

Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
hili jambo baya sana, hawakuchomeka dushelele zao kweli? hebu yapishe mbali haya majanga, nanyie muelewe polisi nao ni watu muda mwingine wanagafirika
 
Hayo ya Pole x2 Pelekeni malalamiko sehemu husika, hawawezi kufanyia kazi malalamiko yaliyoletwa JF, hapa tunajadili tukio la Serengeti
Kama JF ni padogo CCM msingekuwa mnashinda humu kuchungulia kila Dakika, JF ni mahakama binafsi ni sehemu sahihi ya kuwashitaki Polisiccm kwa jamii ndipo hatua zingine zinafuata, acha kuidharau JF
 
hili jambo baya sana, hawakuchomeka dushelele zao kweli? hebu yapishe mbali haya majanga, nanyie muelewe polisi nao ni watu muda mwingine wanagafirika
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria pindi wakiwaona chadema mbele zao, hufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole
 
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria sasa bali kwa mujibu wa IGP anayefanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole.
CHADEMA endeleeni kushikiwa akili zenu na Robert Amsterdam anayewadanganya mlete vurugu, by the way mpelekeeni picha ili awe na ushahidi wa kupeleka ICC ...
 
ukiona hivyo jua ma ccm yamezidiwa mno kisiasa sasa mbeleko toka policcm inahitajika.
 
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:

Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Watashindwa tu. Kila mahali ccm wako hoi.
 
Jiwe ametufikisha pabaya sana jamani. Huku ilikuwa ni ndoto Tanzania kufika!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom