Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,520
- 2,690
Wasalaam,
Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.Wasalaam,
tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.View attachment 1845281
Huyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, ameishiwa pumzi mapema mno.Yupo sahihi wanapiga hoja ya katiba mpya wengi ni Madiwani na wabunge waliochaguliwa kuhuni mwaka Jana kwa maagizo ya jiwe wanataka mama awabebe tena 2025
Kimeumana hakuna kubebwa tena 2025
Kumbe mdudu kaachiwa na mahakama kwa hisani ya ccm? Nilikua cjajuaTungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.
Matendo yanaongea zaidi kuliko maneno...mbona Rais SSH kamteua kuwa mkuu wa wilaya mwehu aliyesema atamchoma Tundu Lissu sindano yenye sumu?
..je, kwa kuteua wehu wanaotishia kuua wapinzani unadhani Rais ana dhamira ya kweli ya kuliunganisha taifa kama alivyodai ktk hotuba yake aliyoitoa bungeni?
Upupu kaongea mdude wewe huoni,mbona hamkosoani nyie kwa nyie.Mnaanza vichokochoko mbona mwamba alipokuwa hai hamkufanya.?Huyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, amwoshiwa pumzi mapema mno.
Leo kaongea upupu mtupu itafikiri yuko kwenye kampeni za ccm
Ujinga wa Mdude ni aibu yake lkn aibu ua rais no aibu ya taifaUpupu kaongea mdude wewe huoni,mbona hamkosoani nyie kwa nyie.Mnaanza vichokochoko mbona mwamba alipokuwa hai hamkufanya.?
Mkuu baada ya Werema wamejitokeza wengine?Watalegea tu!
Ameanza Werema, akaja Sospeter Muhongo, na Sasa Warioba. Next ni Samia kusalimu amri.
Usicheze na nguvu ya umma wewe!!!
Shetani hajawahi kumshinda MunguAnayeshinda uchaguzi nchi inakuwa yake. Nyie pambaneni na saccos yenu huko. Vihelehele United
wengi sanaMkuu baada ya Werema wamejitokeza wengine?
Kama nani?wengi sana
Samia taarab bend..Huyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, amwoshiwa pumzi mapema mno.
Leo kaongea upupu mtupu itafikiri yuko kwenye kampeni za ccm
naona ccm ni ile ile, huyu mama akubuke isipokuwa ni mobeyo cdf hangekuwa raisi leoHuyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, amwoshiwa pumzi mapema mno.
Leo kaongea upupu mtupu itafikiri yuko kwenye kampeni za ccm