PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna taarifa za siri, kuwa kuna mpango mbaya sana wa muda mrefu dhidi ya Tanganyika. Mpango wa siri, ni kuwa eneo lote la pwani linatakiwa kuchukuliwa na waarabu. Njia zote za kiuchumi zinatakiwa kumilikiwa na waarabu. Wakishapata nguvu za kiuchumi, na watanganyika wakawa waajiriwa tu wa waarabu, hao waarabu watachukua nguvu za kisiasa. Wakipata nguvu za kisiasa, watapitisha uamuzi wa kuwa eneo lote la pwani toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka ufukwe wa bahari, na kisiwa cha Kilwa, ni maeneo ya Zanzibar kwani maeneo hayo kabla ya uhuru, na kabla ya ujio wa Wajerumani, yalikuwa milki ya Sultani wa Oman. Wakilikamilisha hilo, Zanzibar itajitoa kwenye muungano, na Tanganyika haitakuwa na bandari hata moja, na hivyo Watanganyika watalazimika kuinyenyekea Zanzibar ili kutumia bandari zao, ikifika hapo Zanzibar itakuwa Dubai ya Afrika.
Kama ni hivyo itakuwa ni jambo nzuri😀
 
Heche kasema nini kariakoo zaidi ya kuzua foleni za misongamano ya watu na mgari kwa kusimama barabarani, kwenye barabara iliyo busy na kuleta usumbufu kwa watumia barabara? Ndio maana alipokamatwa wananchi hawakujali zaidi ya kupongeza jeshi la polisi kufungua barabara kuondoa foleni
Kwan pale ni wapi mkuu ? Kumbe loss ni kuweka foleni ? Ile Barabara gani? Tatizo lenu mnadhani kariakoo kila sehemu kuna foleni....ngoja tuone watasema kafanya nini ili nije nkuulize vinahusiana nini na fulani, viongozi we hii nchi ni wapumbavu sana
 
Wamemshauri SASHA kwamba:

“Kama njia ya kuonesha serikali yako haimwogopi yeyote unatakiwa umjibu Rais wa TEC vikali kwa kukamata wapinzani wengine zaidi badala ya kuwaachia ambao tayari wamekamatwa”
 
Nadhani siku za usoni Watanzania watakuwa wanawaogopa kama ukoma Wanawake kuwapa uongozi!!
Shida ya Tanzania sio jinsia kuongoza,shida ya Tanzania ni katiba maana inampa kiongozi kinga ya kutohojiwa na yoyote.
 
Huu Moto unaopaliliwa hautamuacha Samia salama

Sijajuwa Samia ana mpango gani na Tanzania au ni agent wa warabu sisi tupo tu tunashangaa shangaa ndio anatuuza na kuiua Tanzania?

JK alisema labda huko mbele labda atokee mchawi.

Kama vile Kuna mchawi.
Dawa yake ni kumtoa Samia kwenye nafasi ya kugombea urais ili kulinusuru Taifa hili
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.



View attachment 3312400


View attachment 3312401


Unabii unakaribia kutimia
 
Usumbufu tu kusababisha foleni na misongamano ya watu na magari

Ujinga mtupu CHADEMA acheni kuleta usumbufu kwa watu Kariokoo ona hata huyo mbeba mizigo anavyopata shida kupita
Unafanya nini cha maana wewe mbwa kachoka? Huo udangaji na umavhinga wako ndiyo unaogopa foleni??
 
Mzee wa mikeka anatafuta Kiki tu. Wafuasi wa Munguki kukamatwa wanaona Kiki. Utaendaje kufanya mikutano karikoo muda ambao biashara ndio zimechanganya?
 
Back
Top Bottom