ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
- Thread starter
- #121
kuna watu wanakariri mambo na hatimae huachwa na wajanja wanaojua kudunda na mda.kanuni za mambo zina undergo mapinduzi either locally or internationally. sio lazima kila badiliko lianzie ulaya na america. go joh go. sisi ndio walaji wa products na tunaenjoy so nyie wenye misingi mtasubiri
nadhani sasa wameanza kuelewa. . .si tu kukalia ngumu alafu kumbe mashabiki hawazikubali