Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Joh Makini mwaka 2014 ajabu kwa 2015

Kwa misingi hyo bas Hamas hafanyi hiphop,hiphop inamisngi yake na ili tuite hiphop inabidi misingi ifatwe,Joh anafanya bongo fleva,alitakiwa kushindanishwa na kuna diamond,hiphop wanafanya Runduno,akina songa,nikkimbishi,n the Lyn,
Sijawai kumuona mwanamziki wa hip-hop asiyejua lifted style.cowbama ngweair RIP watu wanachezea mziki wako uku

mtamsema sana lakini ndio hivyo: wimbo bora wa hiphop yumo, mwana hiphop bora yumo, na bado anazidi kipaa.
misingi sometimes lazima ibadilishwe.
 
Vitamin music huwa inanirudisha kwenye mood sana wkt wa stress
 
Hahahahaaa Nick nilimkubali kwenye ile track yake ya good boy tu.
Alivyoanza haya mambo ya sifa sifa nimemtupa kapuni nimebaki na Joh tu.

Nilikua napenda sana ngumu,kila jmosi unikosi kilingeni...nikaanza kua nadiss bongofleva,sisikilizi,
Nkaona ntakua chiz sasa...unackia freestyle dada yko hapend hip hop,mara tunabana ila hatuwawezi,kujisifu.,huu sio mziki ni ubabe....nawasikilza bado ila baadhi ya nyimbo
 
Ile chorus ilikua matata sana.Hivi aliimba nani?
 
Joh makini aliambiwa afanye freestyle akasema hayuko kwenye mood ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
unajua alikua na nani studioni ?
alikua yupo na nikki mbishi sikwambii kilichotokea aibu waliona waliokua wanasikiliza kama mimi
 
Joh hata kama anabebwa basi anabebeka, nyimbo zake kali na zinasikilizika kwa mtu yeyote, tofauti na Fid anayesikilizwa na watu wa Hiphop zaidi

Fid anasikilizwa na watu wanaojua mziki
 
mtamsema sana lakini ndio hivyo: wimbo bora wa hiphop yumo, mwana hiphop bora yumo, na bado anazidi kipaa.
misingi sometimes lazima ibadilishwe.

haunatofauti na wandaa tuzo mnalazimisha visivyo lazimishika..hiphop sio rap bila kufata misingi ya hiphop
 
Misingi sikuhiz haina mpango watu hawataki Hip Hop ngumu wala kuelezea mashida au Siasa kwenye nyimbo. Watu wanataka Gudmusic ndo mana ana survive kwenye game hadi leo stil anapanda

kwanyie msio jitambua na msio jua hiphop nini,hizo rap rap za hovyo hata msafiri deofu wa twanga anaziweza,zipo ngoma kibao za hiphop zinazorusha na kuwakumbusha watu mitambue
 
haunatofauti na wandaa tuzo mnalazimisha visivyo lazimishika..hiphop sio rap bila kufata misingi ya hiphop

mkuu zile tuzo ni mapendekezo ya watu sio kwamba waandaaji ndio wamejipangia tu.
 
kwanyie msio jitambua na msio jua hiphop nini,hizo rap rap za hovyo hata msafiri deofu wa twanga anaziweza,zipo ngoma kibao za hiphop zinazorusha na kuwakumbusha watu mitambue

Sina haja yakujua hyo misingi ya hip hop m sio mwana hip hop m ni shabiki tu wa mziki mzuri.
 
Kwa misingi hyo bas Hamas hafanyi hiphop,hiphop inamisngi yake na ili tuite hiphop inabidi misingi ifatwe,Joh anafanya bongo fleva,alitakiwa kushindanishwa na kuna diamond,hiphop wanafanya Runduno,akina songa,nikkimbishi,n the Lyn,
Sijawai kumuona mwanamziki wa hip-hop asiyejua lifted style.cowbama ngweair RIP watu wanachezea mziki wako uku

Lifted style ndo nini mkuu, au ulitaka kumaanisha freestyle? Freestyle ni moja ya vitu muhimu kwa mwanahiphop lakini sio lazima, na sio nguzo ya hiphop.Ulishawahi kumuona Fid anafreestyle? Mbona ndo wengi wanamuaminia kwamba ndo icon ya hiphop tz.Godzilla anafreestyle sana lakini watu mbona hawamtaji kama mwanahiphop bora?
 
Joh makini aliambiwa afanye freestyle akasema hayuko kwenye mood ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
unajua alikua na nani studioni ?
alikua yupo na nikki mbishi sikwambii kilichotokea aibu waliona waliokua wanasikiliza kama mimi

nilisikiliza hiyo ilikuwa PowerBreakfast mawingu hahaha, ila freestyle ni kipaji sio kitu cha kuiga, hata wakali wengine km Fid Q na Profesa Jay ukiwaambia wafreestyle unawatoa kwny mood
 
Lifted style ndo nini mkuu, au ulitaka kumaanisha freestyle? Freestyle ni moja ya vitu muhimu kwa mwanahiphop lakini sio lazima, na sio nguzo ya hiphop.Ulishawahi kumuona Fid anafreestyle? Mbona ndo wengi wanamuaminia kwamba ndo icon ya hiphop tz.Godzilla anafreestyle sana lakini watu mbona hawamtaji kama mwanahiphop bora?

Mkuu ngosha nae anajua kufreestyle..japo sio kivile kama hao wakina zilla na nikki..binafsi nimewahi kumshuhudia
 
haunatofauti na wandaa tuzo mnalazimisha visivyo lazimishika..hiphop sio rap bila kufata misingi ya hiphop

Unataka na Joh asande game kama Nikki Mbishi ili umcheke? Mi mwenyewe nilikuwaga km wewe ila sahiv nimeona haina maana, cha msingi utoe wimbo utakaoyafurahisha masikio yangu basi, hao tunaosema wanafata misingi sioni cha maana wanachorap zaidi ya kujisifia, oh mimi mkali sijui kama nani na bla bla nyingi...
 
Back
Top Bottom